mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Utopolo mganga wenu sio tapeli. Mpaka mtu kasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kysema kweli ndo kuwa mswahili?.hyo timu inaongoza kwa uchawi hapa TanzaniaKumbe Mayele mswahili hivi.
Ule sio uswahili ila ni kukosa kifua na kuamua kutema nyongo. Mtu wa kukuharibia maisha si wa kumchekeaKumbe Mayele mswahili hivi.
😂Ndyooo vile ..tuchunge mbele ..tuone vile atasumbulia juu ya nn
Endeleeni hivyo hivyo mwisho wa msimu mna anza maandamano Mangungu ajihudhuruNimesikitishwa sana na hii habari. Hata hawa kina Baleke na Kramo ni majini ya Yanga tu. Timu imejaa waswahili. Hakuna mechi ambayo Yanga inacheza bila kuroga. Hii sizungumzi kishabiki
Lakini Mayele alianza kuchokoza mwenyewe walipofuzu AFCON alikuwa live insta akiwacheka wabongo, watu wakaanza kumind pale kwamba mchezaji mwenyewe huingizwi ila upo AFCON, nadhani ikawa utani unaouma kwakeNa hilo suala la kumshobokea linanikera sana basi tu.
Mchezaji ambaye akiondoka Yanga nitahaha ni Diarra, na kiasi Aziz Ki.
Kwakwel Kukosa shukran ni jambo baya sana. Bas angekaa hata kimya tu huko naamin tungempokea baada ya kuishiwa hukoNa sisi ndio tuliompa umaarufu.
Kama kweli anajiweza aendeleze jina huko alipo bila kutegemea tagi kutoka kwetu.
Kumbe aliyazua mwenyewe?acha apambane na hali yakeLakini Mayele alianza kuchokoza mwenyewe walipofuzu AFCON alikuwa live insta akiwacheka wabongo, watu wakaanza kumind pale kwamba mchezaji mwenyewe huingizwi ila upo AFCON, nadhani ikawa utani unaouma kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ushirikina, tumewachukua wengi tukawaweka Taifa Stars badala mfanye mazoezi mnafanya shirki, laanatul!Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
View attachment 2901484View attachment 2901485
Yaani wanamshibokea Hadi wanatia kinyaa. Kaamua kuwachana. Tanzania hakuna mpira tumejionea wenyewe kwenya AFCON. Ligi inaharibiwa na Simba na Yanga uliwahi kuona wapi timu msimu mzima haifungwi Halaand mwenyewe iko siku timu yake huwa inachezea kichapo. Manara na wenzie wamerudisha soka la Tanzania hatua Kumi nyuma. Ni MAJINI Tu yamebakia.
Watanzania ndio maana hata wakiachwa na wapenzi wao huwa wanajiua.
Mchezaji wala hakuwa na miaka mitano kwenye timu yenu ila mmeshindwa kabisa kumuacha aendelee na maisha yake?
Mmemuona mfuga majini mwenyewe?Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
View attachment 2901484View attachment 2901485
Kagua kagua hiyo picha utawaona wawili wa 3Umekosa kabisa hata picha moja tu ya jini?
Ndio shobo zenyewe Fei amekuwa bulled kwenye mitandao badala ya kukua kimpira ndio kazidi kushuka. Waacheni vijana wakatafute riziki.ongeza AUCHO na PACOME ntalia sana.
hizo shobo hata mi zinaniudhi sana.
Ajihudhuru????Endeleeni hivyo hivyo mwisho wa msimu mna anza maandamano Mangungu ajihudhuru
Wajinga mpo wengi sanaHii picha yake akiwa na Mwamposa ina reflect malalamiko yakeView attachment 2901558
Lakini ndio ameshaondoka, kama kuna mtu hajakubali mpaka leo ni wa kuchapwa viboko yeye na huyo Mayele wake.Tatizo aliondika tukiwa tunamuhitaji bado. Yeye na proffesa Nabi.
Si unaona jinsi tunavyosua sua
Nyie ndio mtaji wa mnabii na wagangaAmeenda kwa mwamposa kaambiwa umetupiwa majini na timu yako ya awali
Sent using Jamii Forums mobile app