Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Lakini si ukweli? Hii Afcon imekuwa mbaya sana kwake. Ilikuwa platform kubwa kupata kuonekana ila hakupewa nafasi na hata alipopewa hakuna alichofanya.Lakini Mayele alianza kuchokoza mwenyewe walipofuzu AFCON alikuwa live insta akiwacheka wabongo, watu wakaanza kumind pale kwamba mchezaji mwenyewe huingizwi ila upo AFCON, nadhani ikawa utani unaouma kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Mayele ana uswahili mwingi sana, akae kimya kabla hatujakumbushia mambo yake na akina Gigy Money.