ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wakati mnaendelea kushangilia Mayele huko mwanza matokeo ni 0-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mimi nitatoa mwongozo gani tena na wakati watu wanabishana kuhusu majini ambayo sijawahi kuyaona kwa macho!!
Hata mimi nimeachwa njia panda. Maana ninasikia tu sijui Mayele amegombana na baadhi ya mashabiki huko instagram kuhusiana na habari za majini! 😁ndugu yangu,hii jamii forum ya sasa kiboko,Mtu anapata habari insta alafu anakuja kuweka comment jamii forum. Hajui kuna watu hiyo habari hatujaiona.
Umemjenga kwenye nini wewe kenge. Mtu aje na kipaji chake, awaasaidie ubingwa halafu unajitapa umemjenga? Ulimfundesha KUFUNGA?Familia yake inatuhusu nini? Yeye tumemjenga sisi.
Majini fc wakubwa nyie
Acha uongo wewe.Wakati mnaendelea kushangilia Mayele huko mwanza matokeo ni 0-0
Ukimaliza kuyalisha majini msosi utupe matokeoWakati mnaendelea kushangilia Mayele huko mwanza matokeo ni 0-0
Kikwete na dingi yake haji, manara Sr. Waliobakia wote dishi limeyumbaYanga wenye akili hawafiki watatu.
Lile jini la ufungaji mayele alilificha kwenye begi akaondoka naloHivi kwanini yanga wanataka kumuua Mayele?
Huyo mayela Jinga Sana,Mayele amelalamika mmemtupia majini, hatuwezi kukataa aliyosema kwa sababu alikuwa na nyinyi na mnajua mlivyokuwa mkimpa majini ili aweze kuona mkali dimbani, hatuwezi kupuuza hizi kauli hata kidogo.
Kwamba mmefikia hatua mnamtupia majini hadi huko aliko?
Na bado hapo Mayele hajasema, feitoto naye hajasema pia, sasa najiuliza mnakwenda kuhiji maka kufanya nn? Macca ni mahali patakatifu, macca wanakwenda watu wasafi, wewe unakwenda maka kuhiji halafu unamtumia Haji kurusha majini kwa watu.Huko macca ulienda kucheza makida makida.
Halafu unaibuka unamwambia Mayele eti futa post hii, habithil ammar.
Mtasema tu wanga nyie.
🤣🤣🤣Hii ndio dawa ya mchawi. Muanike. Haji kimbelembele ndio muhusika mkuu wa kutafuta majini ya kwenye kuruani