sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Huu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata FIFA wanahimiza sana.
Cha ajabu Klabu ya Yanga inajiona ipo juu ya sheria na kufanya kinyume, Inonga baada ya mechi alikuwa anawahi kwenda kutafuta sehemu ya mapumziko lakini ghafla mbele yake akazingirwa na wachezaji wa Yanga, Fiston Mayele na Litombo Bangala wakamvamia na kumfanyia shambulio la aibu.
TFF ni wajibu kulichunguza hili