Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hawa wanajuana, msimu uliopita mbona Inonga alikuwa anamsindikiza Mayele nje akifanyiwa sub.....Huu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata Fifa wanahimiza sana.
Cha ajabu klabu a Yanga inajiona ipo juu ya sheria na kufanya kinyume, Inonga akiwa baada ya mechi alikuwa anawahi kwenda kutafta sehemu ya mapumziko lakini ghafla mbele yake akazingirwa na wachezaji wa Yanga, Fiston Mayele na Litombo Bangala wakamvamia na kumfanyia shambulio la aibu,,
Tff ni wajibu kulichunguza hili
View attachment 2323275
Ile ilikuwa ni utani tu.