sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwani huu ushamba umeuanza lini mkuu?Huu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata Fifa wanahimiza sana.
Cha ajabu klabu a Yanga inajiona ipo juu ya sheria na kufanya kinyume, Inonga akiwa baada ya mechi alikuwa anawahi kwenda kutafta sehemu ya mapumziko lakini ghafla mbele yake akazingirwa na wachezaji wa Yanga, Fiston Mayele na Litombo Bangala wakamvamia na kumfanyia shambulio la aibu,,
Tff ni wajibu kulichunguza hili
View attachment 2323275
Achana na mambo ya wakongo wa Goma wanajuana hao. Utani huo wewe, hukumbuki game iliyopita Inonga alichomfanyia MayeleHuu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata Fifa wanahimiza sana.
Cha ajabu klabu a Yanga inajiona ipo juu ya sheria na kufanya kinyume, Inonga akiwa baada ya mechi alikuwa anawahi kwenda kutafta sehemu ya mapumziko lakini ghafla mbele yake akazingirwa na wachezaji wa Yanga, Fiston Mayele na Litombo Bangala wakamvamia na kumfanyia shambulio la aibu,,
Tff ni wajibu kulichunguza hili
View attachment 2323275
Huyo ni Yanga hii mada imekaa kinafki 😂😂😆Mtoa mada unateseka ukiwa wapi???
Nakubaliana na wewe lakini Kwanza naomba comment yako ukilaani kitendo alichofanya Inongà kama hiki msimu uliopita dhidi ya Mayele.Huu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata Fifa wanahimiza sana.
Cha ajabu klabu a Yanga inajiona ipo juu ya sheria na kufanya kinyume, Inonga akiwa baada ya mechi alikuwa anawahi kwenda kutafta sehemu ya mapumziko lakini ghafla mbele yake akazingirwa na wachezaji wa Yanga, Fiston Mayele na Litombo Bangala wakamvamia na kumfanyia shambulio la aibu,,
Tff ni wajibu kulichunguza hili
View attachment 2323275
Me ni Simba Ila nimefurah kufungwa na yanga ,huyu inonga huenda akapunguza sifa za kijinga kwenye issues za maanat
Acha kupanic hujui huko kwao Congo wapo vp ndyo maana hakufanya chochote huyo inonga na kama uliangalia mpaka mwisho walikua pamoja na picha walipiga halafu mbona huzungumzii tukio la Inonga alilomfanyia Sure boy acha unazi kwa vitu vidogoHuu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata Fifa wanahimiza sana.