Fiston Mayele na Litombo Bangala walichomfanyia Inonga ni kumkosea Heshima na kukiuka haki za Binadamu, TFF iingilie kukomesha hii tabia

Hawa wanajuana, msimu uliopita mbona Inonga alikuwa anamsindikiza Mayele nje akifanyiwa sub.....
Ile ilikuwa ni utani tu.
 
Inonga jana kacharazwa yeye. Halafu kuanzia leo naacha kuchukulia mpira serious aisee utaniua jana hata usingizi umepaa na hivyo na mr nae ni simba kindakindaki basi kila mtu aligeukia upande wake. Itoshe kusema ntashangilia kwa kiasi.
Pole mkuu, Mimi pia nishaachaga kuchukulia serious Mambo ya mpira, japo ni Simba lakini sikuumia nafsi, Kwanza Inatakiwa kutambua mpira una matokeo ya aina 3
 
Wafungiwe hao kama Manara ili Uto wakose ubingwa.

Nadhani "Alshabaab" ametusikia.
 
Hao ni wakongo wanajuana vizuri na wanataniana sana
 
🤓 ni msimu mwingine wa maandamano kwa tff dhidi ya Yanga.
Hilo nalo halitoshi, kamshitaki hata staili yake ya ushangiliaji kama nayo haisoshi kaseme na magoli yaliyofungwa ni kuiaibisha klabu ya Simba na wachezaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…