tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Unaconclude kwamba wewe ndo unamlipa mshahara au? Unaconclude kama nani?Bado nahitaji nimuone akipata nafasi km hizo Tani ndy nitaconclude
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaconclude kwamba wewe ndo unamlipa mshahara au? Unaconclude kama nani?Bado nahitaji nimuone akipata nafasi km hizo Tani ndy nitaconclude
Jana mayele kawachomeka kimokoUto mko vizuri ktk kusifia usajili. .. Msimu uliopita Saido, Sarpong, Fiston... Yetu macho
No issues. Hata Surpong alifunga kwenye derby ya mwaka jana na akaendelea kuwa SurpongJana mayele kawachomeka kimoko
Sarpong alifunga kwa penati. Huyu Mayele kafunga goli la kideo Manula kabaki anashangaa tuNo issues. Hata Surpong alifunga kwenye derby ya mwaka jana na akaendelea kuwa Surpong
Bado tu una imani kua tumepigwa?aisee hebu futa kauli yako haraka sana tena kwa maandishiYule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.
Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.
Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa
Jamaa zamira yake inamsutaMayele kafunga goli.
Sasa itakuwaje?
Wewe kweli huna takwimu hivi hujui ni huyuhuyu mayele aliipiga taufa stars hapo dar,walipicheza na congo,mayele sio mchezaji mdogoYule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.
Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.
Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa
Jitahidi uwe na akili japo kidogo yaani mchezaji aifunge Taifa Stars ndio umuone wa maana, awafunge mafarao huko sio hawa wavuta ugoroWewe kweli huna takwimu hivi hujui ni huyuhuyu mayele aliipiga taufa stars hapo dar,walipicheza na congo,mayele sio mchezaji mdogo
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kufunga goli moja kelele, ligi ni safari ndefu, muda ni mwalimu mzuri, Mayele tumepigwaMayele kafunga goli.
Sasa itakuwaje?
Walimu wako walisumbuka sana, zamira ndio nini?Jamaa zamira yake inamsuta
🙌🏻🙌🏻🙌🏻Sarpong alifunga kwa penati. Huyu Mayele kafunga goli la kideo Manula kabaki anashangaa tu
Nyie yule mrembo Banda mmemuonea wapi kama sio kwenye mechi moja ya Taifa stars dhidi ya Malawi. Vipi kuhusu Chikwende mlimuona kwenye mechi ngapu?Jitahidi uwe na akili japo kidogo yaani mchezaji aifunge Taifa Stars ndio umuone wa maana, awafunge mafarao huko sio hawa wavuta ugoro
Utakua hujawahi kucheza mpira wewe! Fiston Mayele ni mshambuliaji mwenye unyumbulifu.Kufunga goli moja kelele, ligi ni safari ndefu, muda ni mwalimu mzuri, Mayele tumepigwa
Wewe watu hatukuelewi kabisaKufunga goli moja kelele, ligi ni safari ndefu, muda ni mwalimu mzuri, Mayele tumepigwa
Na magoli yote ni kutokana na ushapu wake. Ana maamuzi ya haraka sanaJamaa analijua lango, so far kashawafunga Simba na Azam
Na magoli yote ni kutokana na ushapu wake. Ana maamuzi ya haraka sana
Tofauti ipo, Mayele kafunga magoli wachezaji wakiwa kamili lakini Kagere kafungo goli wachezaji wakiwa pungufu wa dodoma jiji.Ndala mko over excited tu,ila anafunga obvious goal kama kagere tu goal alilofunga mayele leo halina tofauti na la dodoma jiji
Enzi za Kagere zilishapita kitambo. Kwa sasa habari ya mjini ni Fiston Mayele.Ndala mko over excited tu,ila anafunga obvious goal kama kagere tu goal alilofunga mayele leo halina tofauti na la dodoma jiji