Mimi simba hawa utopolo walikuwa wanatusumbua sana,yaan mpaka leo tena mpaka jamaa nikamwambia mkuu unaweza wewe kupangiwa hata na hao Yellow Nation,lakin mwana utopolo alikuwa haambiliki.Mamelodi sundown kaleta stress Sana Leo...
Tena mwamba aliweka mapema sanaLeo asubuhi mapema tu nimekuta micky jnr amepost kaandika draw test halafu kaweka draw hii hii iliyopangwa na CAF. yaani niliona kama anatabiri tu ile asubuhi ila kuona kila kitu kimefanana kwakweli nikaingiwa na mashaka. Nikaingia kwenye post zake baada ya kutoka kwa draw nikaona kafuta ile post. Kwa waliona post ya Micky Jnr watakuwa mashahidi kwa hiki nachosema
Sisi ni wakubwa na tumepangwa na wakubwa wenzetu.Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.
Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi...
Furgeson aliwahi lalamika kila draw ikipangwa kaangukia Madrid sasa nyinyi wa dar es salaam mna vidaka matonge virefu sana mimi kila mkikomeshwa huwa nasikia raha pambaneni hakuna hujuma wala nini mpira wenu umekua!Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.
Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi...
Yaaan kila ukikaa wanamtaka assec,yaaani kila muda assecWalikuwa wanamtaka Asec [emoji2]
Asec au petro de luandaMengine sijui, ila hiyo ya kupangwa Kwa hiyo mlitakaje, mpangwe na nani?
Yanga pia ni wakubwaNadhani team kubwa zinachagua wa kukutana nae nae
Walisha jipangia Asec mimosaMengine sijui, ila hiyo ya kupangwa Kwa hiyo mlitakaje, mpangwe na nani?
Sasa wanailalamikia draw ya CAF kwa kuwapangia Mamelodi 😂😂Yaan unakuta utopolo linakwambia Simba vs mamerod
Tupangwe na nyieMengine sijui, ila hiyo ya kupangwa Kwa hiyo mlitakaje, mpangwe na nani?
Micky jnr Yuko mtandao upi?Tena mwamba aliweka mapema sana