Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

Yule mwarabu aliyeichagua ball ya Al Ahly kuonyesha wanaenda kucheza na Simba baada ya kusoma kikaratasi alianza kucheka sana, kile kicheko hakikuwa cha furaha kina uashiria fulani wa woga. Akamuangalia yule Mzee wa Al Ahly aliyekaa mbele nadhani akamuonyesha ishara "tutakuwa poa tu". Ni uchaguzi pekee leo ambao uliona msomaji wa karatasi ameonyesha hisia za wazi.

Kuna yule mwenzao ndiyo akaamua kuondoka kabisa stejini akawaacha wenzake.
 
Kwenye post alisema Yanga vs Mamelodi, Simba vs Petro Luanda
 
Hayo umeyaona wewe kolo wa head
 
Simba hatuna mashaka kabisa naona hii ndio njia yetu ya kuelekea nusu fainali
 
Kwanini unaamini hao Mamelodi wametuma wataalam kuangalia mechi ya Yanga tu,je kama wametuma wataalam kwa mechi zote tofauti tofauti?
 
Hadithi zote hizi Kwa sababu Yanga Kapangwa na Mamelodi,ingekuwa ASEC ungesema haya?Kila mtu apambane na Hali yake, Pathetic
 
Mwaka Jana alilikosa Kwa uzembe tu...draw ya 2-2 nyumbani...basi...
Halafu ni bingwa WA super league...

Haogopwi bure ..
Hakuna uzembe,huo ndio uwezo wake ulipoishia. Kombe lenyewe kachukua mara tena miaka nane iliyopita. Nasema hiviiii,let them come
 
Simba na Yanga zote out.

Hii ndio faida ya uwekezaji Chupli chupli.

Akina Mo ni wezi na Matapeli wakubwa wakuihujumu simba.

TIMU ZOTE ZITATOLEWA ROBO FAINALI.
 
Kwanini unaamini hao Mamelodi wametuma wataalam kuangalia mechi ya Yanga tu,je kama wametuma wataalam kwa mechi zote tofauti tofauti?
Timu kubwa kwenye mipango Yao hawabahatishi. Wakati sisi uku tunafanya prediction ya nani utacheza naye wao unakuta walisha book ticket, hotel na uwanja wa mazoezi kwakua walishaijua safari Yao mapema.
Unakuta ata refa walisha mjua[emoji1][emoji1]
 
This is stupidity of the highest order. Timu ziko nane. Possibility ya kupangwa na timu nyingine iliyoishia nafadi ya pili haipo kutokana na draw procedure. Halafu katika timu nne zilizobaki huwezi kupangwa na timu uliyokuwa nayo group moja. Kwa hiyo unabaki na timu tatu unazoweza kupangwa against. Utasemaje imepangwa kabla? Kwa nini watu mnaojidanya ligi yenu ni kati ya ligi bora Africa mnalalamika kama watoto wadogo? Mountains are there to climbed. Kwa nini mnagwaya wakati ninyi ni wazoefu wa ligi ya mabingwa Africa?

Wanaolalamika sana kwenye hii forum ni mashabiki wa Simba badala ya kuthinitisha ubora wenu.
Msimu uliopita kila kabla ya mechi ya Yanga kulikuwa na threads nyingi zikitabiri mwisho wa Yanga kila hatua lakini it was proved wrong. Na msimu huu upuuzi ule ule unaendelea kwamba hawatoboi makundi. Sasa aneingia robo bado watu wanaendelea na upuuzi wao. Grow up!
Nilipost nahali kabla ya mechi za makundi kuisha kwamba bingwa wa mwaka huu CL atatoka group D na ndivyo itakavyokuwa.
Nawapa heko mashabiki wa Yanga hawana upuuzu huu wanajua katika mechi ya football kuna matokeo matatu. Lakini vile vile wanauaminintimu yao. Jwsongakuna tomu ndigo wala kubwa. Always be positive you will live long. Punuzeni stress and enjoybthe beautiful game
No
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…