Fitness and wellness

Kweli katika magumu tunamwona Mungu. Me nipo nani huyu tena anapiga Injili, kumbe ni msukuma!!! Kweli Mungu ni mkuu sana, atakurejeshea tu upya afya yako.
 
Pole sana mpendwa, Mungu atakurudisha tu katika hali ya zamani.
 
squarts zinasaidia nn mkuu??
 
Push ups hapana aisee imenishinda, japo sit ups,crunches,squart nk nafanya.
Nashukuru nitazingatia.

Diet muhimu, nazingatia hilo mnooo hata nisipofanya mazoezi.
 
Push ups hapana aisee imenishinda, japo sit ups,crunches,squart nk nafanya.
Nashukuru nitazingatia.
Push ups ni ngumu mwanzoni ila ni bonge ya zoezi nakusihi usiache kujaribu. Anza taratibu kwa kufanya assisted push ups mikono ikizoea ndiyo ujaribu push up kamili. Push ups na pull ups ni best exercises.
 
Mtu ukitaka kufanya Push up kwa kujiweka Mwili Mzuri kiafya hasa kwa tuliosogea umri bila ya kutanua au kuvimbisha kifua inawezekana kweli? I like Push up inachokera ni kule kuongeza kifua ukubwa wake na kututumua Manyonyo!
 
squarts zinasaidia nn mkuu??
Kama mchoro unavyoonyesha squats hutarget quads/thigh na butt. Kwa wanawake wanaotaka kuwa na sexy butt hawana budi kufanya squats, kwa wanaume hasa athletes kama mimi mcheza soka squats hujenga na kuongeza nguvu za miguu.

Mtu ukitaka kufanya Push up kwa kujiweka Mwili Mzuri kiafya hasa kwa tuliosogea umri bila ya kutanua au kuvimbisha kifua inawezekana kweli? I like Push up inachokera ni kule kuongeza kifua ukubwa wake na kututumua Manyonyo!
Inawezekana boss ila ningeshauri ufanye pull ups na dips zaidi kuliko push ups kama hutaki kifua kitanuke. Aidha fanya push ups kwa uchache na weka narrow grip ili Target yako iwe mikono badala ya kifua.
 
Nashukuru nita google zaidi kuelewa aina hizo za push up
 
Kama mchoro unavyoonyesha squats hutarget quads/thigh na butt. Kwa wanawake wanaotaka kuwa na sexy butt hawana budi kufanya squats, kwa wanaume hasa athletes kama mimi mcheza soka squats hujenga na kuongeza nguvu za miguu.

View attachment 404153

Nimesoma sehemu kuwa hizo squats zinasababisha Matatizo ya Joints ukiwa unafanya frequently
 
Hongera mkuu kwa kuleta mada nzuri ambayo itatusaidia kwa wavivu wa mazoezi
 
Nimesoma sehemu kuwa hizo squats zinasababisha Matatizo ya Joints ukiwa unafanya frequently
Mazoezi kama kitu kingine chochote yana side effects zake kama hutofanya kwa usahihi au kama utafanya kwa kutozingatia limitations zako.

Kwa watu wenye matatizo ya joints/knee/back hawapaswi kufanya au wakifanya wasiweke uzito mkubwa ili wasiongeze tatizo. Vivyo hivyo push ups kama una bad shoulder inabidi ujue jinsi ya kufanya around it au usifanye kabisa ili usiongeze tatizo. Cha msingi ni kujua na kuzingatia uwezo na limitations zako

Huwa nasema Listen to your body.
 
Nafanya cardio nilianza kidogo kidogo, yesterday I was able to run 5kms in 30 minutes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…