Fitness and wellness

Bila mazoezi maisha yangu yatakuwa ni ya idhilali kubwa sana.

Nayafurahia mazoezi kuwa ni sehemu ya muhimu ya maisha yangu.
ukiachalia mbali kuwa imara mazoezi pia yanafanya mtu kuwa vizuri sana kwenye mambo yetu Yale!

watu hawajui tu wanalalama huku kila kukicha!
 
Yes mimi ni mdada aged 26, kuhusu overweight yaweza ikawa ingawa sio mzito, mchana huwa nakula kazini mara nyingi wali au chipsi mara chache sana,soda nilikuwa nakunywa mwanzo ila sasa nimeacha natengeneza mwenyewe fresh, kuhusu colories input na output hivyo vitu sivifahamu, self motivation ninayo ila sio sana nikiwa nyumbani huwa najaribu kuruka kamba ila sio kila siku , kuhusu kukimbia mwenyewe asubuhi naogopa na jioni natoka kazini late
 
Malcom dili hili.. Muulize anakokaa muwe mnajog wote asubuhi..
 

Kazi yako ni sedentary?
 
Mkuuu nzuri sana hiii.

Oky hebu pitia taratibu tambua haina ya mwili wako na mazoezi ya kufanya
 
Malcom dili hili.. Muulize anakokaa muwe mnajog wote asubuhi..

Haaaahaaaa Fisadi wazzuup bro,
Ila mbona mimi sikai Marekani halafu sina hata kazi,
Hebu muulize basi kama atapenda kampani ya wala vumbi wa Mtwara????
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahahahaha huyo sio wa marekani bwana.. Wa tabata tu hapo. Itabidi siku tukae pale Fire tule bia bana
 
Nimependa ka msemo hako. Eat clean n train dirty.


Kwa wale wanaopunguza mwili, mazoezi ya Cardio ndo wanaotakiwa kufanya kwa wingi

Huku ukipunguza ulaji wa fat na carbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…