Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mazoezi ni starehe kama starehe nyingine ukiamini
Mazoezi yanabadili mood ndani ya dakika 5
point unapoamia ndio point inapojenga
Great Morning Push up then bathroom!
Bila mazoezi maisha yangu yatakuwa ni ya idhilali kubwa sana.
Nayafurahia mazoezi kuwa ni sehemu ya muhimu ya maisha yangu.