Fitness and wellness

Fitness and wellness

Mwana moja naye akaona siyo mbaya atume picha yake wanakunywa kerero.
Heeee, lijamaaa hata lilipotokea sijui , Likasema mibaa yenu michafu imejaa mapaka.
Daaah mwana alijisikia vibaya kinoma: nilikuwa najiandaa kukomenti juu ya zile chupa ila nikaishia tu kutikisa kichwa.
Hahahahhaa nakumbuka ilo dhahama lilimkuta kadoda11 na Castle zake alizozimwaga counter..
 
Habari nzuri ni kwamba inawezekana, habari mbaya ni kwamba huwezi target bellyfat kama parts zingine za mwili.

Kitambi ni sehemu ngumu na inayohitaji nidhamu na uvumilivu wa hali juu ili kukitokomeza. Kwa kawaida mafuta ya kitambi huwa ya mwisho kabisa kupungua mwilini yani thighs, arms, chest vitakuwa in shape kabla ya kitambi kuisha. Ushauri fanya mazoezi kawaida tu kama ni cardio au weightlifting au both na kitambi kitaisha taratibu. Usijidanganye kufanya crunches bila mazoezi ukitegemea kitambi kitaisha bali fanya crunches after mazoezi mengine. Good luck

Ndo maana nasisitiza sana kuhusu mchango wa genetics. Hebu soma hiki kipande halafu bofya kiunganishi kwa taarifa zaidi.

TRUTH 2 YOU MAY NEVER HAVE A SIX PACK EXACTLY LIKE THAT IN THE MAGAZINE
There are many people who spot a model in a magazine looking exactly how they want to look and that becomes their new mental image of their goal. While this is fine - it's great to use pictures as motivation like that - it's also important to bear in mind that the way your abs are structurally built will provide some limitation.

For example, some people have a very large split down their abs, while others don't. Some have larger top ab muscles, while others are smaller. Your individual genetics will determine exactly how your abs look when you get lean enough for them to become visible.


Link

 
Mada nzuri sana.

Huwa najitahidi sana kufanya mazoezi hasa kukimbia ndo hobi yangu

Nidhamu ya misosi yataka moyo. Nimepambana sana kuacha kunywa soda nimefanikiwa ingawa haikuwa rahisi.
Caffeine nimepunguza kwa kiasi kikubwa.

Saivi napambana na haka kakitambi.
 
Mada nzuri sana.

Huwa najitahidi sana kufanya mazoezi hasa kukimbia ndo hobi yangu

Nidhamu ya misosi yataka moyo. Nimepambana sana kuacha kunywa soda nimefanikiwa ingawa haikuwa rahisi.
Caffeine nimepunguza kwa kiasi kikubwa.

Saivi napambana na haka kakitambi.

Mambo Rei..?

Na wewe ni workout warrior kama wako mtiifu?
 
mtaka cha uvunguni,sharti ainame..
IMG_1587_thumb6.jpg
Akiinama tu analiwa doughnut....ckuiz watu wanatembea na vilainish ata.
 
Ipi inatoa matokea haraka kati ya hizi

1-Hevy lifting + kuruka kamba

2-Hevy lifting pekee

3-kuruka kamba pekee

4-push up +kuruka kamba

5-kukimbia +push up +lifting
 
Back
Top Bottom