Habari nzuri ni kwamba inawezekana, habari mbaya ni kwamba huwezi target bellyfat kama parts zingine za mwili.
Kitambi ni sehemu ngumu na inayohitaji nidhamu na uvumilivu wa hali juu ili kukitokomeza. Kwa kawaida mafuta ya kitambi huwa ya mwisho kabisa kupungua mwilini yani thighs, arms, chest vitakuwa in shape kabla ya kitambi kuisha. Ushauri fanya mazoezi kawaida tu kama ni cardio au weightlifting au both na kitambi kitaisha taratibu. Usijidanganye kufanya crunches bila mazoezi ukitegemea kitambi kitaisha bali fanya crunches after mazoezi mengine. Good luck