Hahahahhaa nakumbuka ilo dhahama lilimkuta kadoda11 na Castle zake alizozimwaga counter..Mwana moja naye akaona siyo mbaya atume picha yake wanakunywa kerero.
Heeee, lijamaaa hata lilipotokea sijui , Likasema mibaa yenu michafu imejaa mapaka.
Daaah mwana alijisikia vibaya kinoma: nilikuwa najiandaa kukomenti juu ya zile chupa ila nikaishia tu kutikisa kichwa.
Habari nzuri ni kwamba inawezekana, habari mbaya ni kwamba huwezi target bellyfat kama parts zingine za mwili.
Kitambi ni sehemu ngumu na inayohitaji nidhamu na uvumilivu wa hali juu ili kukitokomeza. Kwa kawaida mafuta ya kitambi huwa ya mwisho kabisa kupungua mwilini yani thighs, arms, chest vitakuwa in shape kabla ya kitambi kuisha. Ushauri fanya mazoezi kawaida tu kama ni cardio au weightlifting au both na kitambi kitaisha taratibu. Usijidanganye kufanya crunches bila mazoezi ukitegemea kitambi kitaisha bali fanya crunches after mazoezi mengine. Good luck
Hahahahhaa nakumbuka ilo dhahama lilimkuta kadoda11 na Castle zake alizozimwaga counter..
Hehehehehe akaambiwa bar chafu imejaa mapakaEwaaah,
Wewe una kumbukumbu nzuri....
Sasa kadoda alikuwa naye anatega mtego wake jamaa akaja akaharibu.
teh teh teh teh Ngabu bwanaaaaa.
Hehehehehe akaambiwa bar chafu imejaa mapaka
Hahahahaha jamaa akaingia mitiniDaah yani acha tu.
Kadoda alifyumu vibaya akaishia tu kusema "wee Ngabu acha dharau".
Halafu jamaa likajibu "dharau gani kwani uongo?"
Mada nzuri sana.
Huwa najitahidi sana kufanya mazoezi hasa kukimbia ndo hobi yangu
Nidhamu ya misosi yataka moyo. Nimepambana sana kuacha kunywa soda nimefanikiwa ingawa haikuwa rahisi.
Caffeine nimepunguza kwa kiasi kikubwa.
Saivi napambana na haka kakitambi.
Hahahahaha jamaa akaingia mitini
Akiinama tu analiwa doughnut....ckuiz watu wanatembea na vilainish ata.mtaka cha uvunguni,sharti ainame..
Hahah halafu wana makusudiAhahaha...hilo nawaachia wengine.
Ila uongo mbaya gym kuna totoz kali bana.
Hahah halafu wana makusudi
Wakijua unawatazama pale
kwenye running machine
Hahah halafu wana makusudi
Wakijua unawatazama pale
kwenye running machine
Ipi inatoa matokea haraka kati ya hizi
1-Hevy lifting + kuruka kamba
2-Hevy lifting pekee
3-kuruka kamba pekee
4-push up +kuruka kamba
5-kukimbia +push up +lifting
Eeh the monster's are running inside of me[emoji5] [emoji5]