Fitness and wellness

Asante ngoja mwezi ujao nianze mazoezi....tena gym iko pembeni ya nyumba tu.
 
Hehehe!, una vituko weye. 🙂

Mazoezi ya kucheza kama rumba hivi au video kama hii, ndo mazoezi mazuri kuanzia cos huboreki haraka. And once you used to it, inakuwa rahisi tu. Kama kumsukuma mlevi vile.
Mie kufanya mazoezi is not an isue! Tatizo ni muendelezo[emoji134] [emoji134]
 
Tahadhari na mazoezi ya viungo kwani unaweza kupata hasara kuliko faida zilizoahinishwa na mleta mada.

Unahahitaji ushauri wa wataalamu wa lishe, afya, na tiba ili kujua kiwango ambacho mwili wako unaweza kufanya hayo mazoezi.

Bahati mbaya sehemu nyingi zenye vifaa hivyo vya mazoezi (gyms) hazina wataalamu hao wala hazitoi maelekezo kuhusu afya ya mshiriki, mradi ana uwezo wa kulipia.

NI TAHADHALI TU NATOA
 
Mkuu you on the right track so far hapo cha kuongeza ni intensity tu. Kama unakimbia Jaribu hii formula ya HIIT (High intensity interval training) yani umbali unaokimbia kwa dakika15 Jaribu hadi uweze kukimbia umbali huo huo kwa dakika 10.

On weightlifting ongeza uzito au reps au both. Kama unafanya 10reps za bicep curls basi fanya 15reps unaweza ongeza uzito pia

Push ups pia ongeza reps huku ukipunguza muda wa interval kati ya set na set. Good luck mkuu
 
On weightlifting ongeza uzito au reps au both. Kama unafanya 10reps za bicep curls basi fanya 15reps unaweza ongeza uzito pia

Push ups pia ongeza reps huku ukipunguza muda wa interval kati ya set na set. Good luck mkuu

Hapo pia ni vyema aka employ falsafa ya muscle confusion ili kuepuka plateau.
 
Aisee hiki kitambi changu cha bia sijui nakitoaje tu???

Habari nzuri ni kwamba kitambi kinaweza kupungua na kuisha kabisa, habari mbaya ni kwamba huwezi kufanya mazoezi ya kutarget kitambi peke yake itakubidi ufanye mazoezi ya mwili Mzima na kitambi kitaisha taratibu.

Uzuri ni kwamba umeshajua tatizo kwamba Ni kitambi cha bia basi punguza kunywa bia, mimi sio muumini wa kuacha kula au kunywa kabisa sababu binafsi Bado nakula kila kitu nilichokua nakula hapo awali na matokeo nayaona.

Kama utashindwa kabisa kuacha bia punguza huku ukianza mazoezi taratibu, unaweza kuwa na CHEAT day kila week au mbili ambayo utakuwa unajiachia na bado ukaona matokeo. Kila la kheri
 
Mie kufanya mazoezi is not an isue! Tatizo ni muendelezo[emoji134] [emoji134]


Yeah ni kweli, muendelezo baada ya kuanza huwa issue especially kama huna company. Lakini unajua pia, ukishazoea sana halafu ukamiss hata kwa siku kadhaa unakuwa kama mgonjwa. So ukiyazoea sana U good.
 
Thanks much buddy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…