Lamkyeku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2014
- 494
- 663
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongea vizuri mkuu Mali.. Hana shida huyo
Hahahahahaha huyo sio wa marekani bwana.. Wa tabata tu hapo. Itabidi siku tukae pale Fire tule bia bana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haahaaaaaaa,
Sitaki Broiler mimi aisee,
Nakomaa na kuku zetu za chenyeji za Tabata, Mabagala na Mwananyamala mpaka kufa.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh bwana tutafutane tupige mbili tatu hivi,
Ngabu anasema mabaa ya bongo yamejaa Mapaka utadhani jalala la mzungu,
teh teh teh teh teh.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwani wa US ni broilers..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaaaaahh mabar ya bongo yamejaa mapaka.. Aisee nomaa sana
Mkuuu nzuri sana hiii.
Oky hebu pitia taratibu tambua haina ya mwili wako na mazoezi ya kufanyaView attachment 394989
Zahahahahahahahaa daaaahh Mali unajua watu wapo gym hapa alafu umekuja kuchafua hali ya hewa.. Au wewe kimbau mbau una wivu hahahahaIla fisadi eeh tuache mzaha nakumbuka miaka ya nyuma wakati nipo mdogo walikuwa wanakuja sana pale ubalozi,
dingi akawa anawafanyia Diet Therapy kidogo si unajua box haijazi mfuko???
Alivyoondoka likaja zee moja hivi liliwanyoosha hakuna Party za graduation wala get together,
Bwahahaaaa bwahaaaaa bwahaaaaa!!!!!!
😀😀😀😀😀😀😀😀
Sahihi.Hiyo nayo ni muhimu sana.
Ndo maana mara nyingi nimekuwa nikiwauliza watu kuhusu genetic body types zao.
Genetics ndo msingi wa kila kitu kwani yote utakayoyafanya juu ya mwili wako tayari yapo.
Kinachofuata ni kuongezea au kupunguza tu.
Zahahahahahahahaa daaaahh Mali unajua watu wapo gym hapa alafu umekuja kuchafua hali ya hewa.. Au wewe kimbau mbau una wivu hahahaha
Sahihi.
Baada ya hapo amua unataka kuwa nani....kuwa body builder or kuwa strong.
Hebu share mim huwa girls wana work out na wanakuwa na umbo sexy kichizView attachment 395007
[emoji23] [emoji23] kumbe ugonjwa wengi.Oh yeah..totoz zenye toned bodies huwa mwake sana.
Na zile tights wanazovaa...daah.
That's what's up.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Aaaaah niwaonee wivu wakina Ngabu na Bufa kwa lipi labda?
Kukaa Marekani ukubwani au?
Mimi nimekaa huko kwa mara ya kwanza Texas nina miaka 6, nas nchi kibao tu.
Nimeshuhudia SOVIET UNION ina collapse pale MOSCOW wakati mdogo sana.
Sasa nionee wivu mamisuli nimekuwa bondia au kuli mimi?
Sheeeeeeeeh, puuuuuuh.
Hebu nitake radhi brother.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Utaanzisha vita hapa..
Mali Nyani sikuhizi kajirekebisha yuko poa sana hana shida [emoji58] [emoji58] [emoji58] [emoji58] [emoji58]Hakuna hawa mafala huwa wanatutemea shiti yaani utafikiri sisi siyo watu.
Ni heri wangetutukana sisi, sasa kuwaita Watanzania Manyumbu eti kisa unachukia wana wachache hapa JF ni undezi wa hali ya juu.
Sasa tutaenda hivi hivi tu, hakuna namna.
Mali Nyani sikuhizi kajirekebisha yuko poa sana hana shida [emoji58] [emoji58] [emoji58] [emoji58] [emoji58]
Ila daaah hapo kwenye mabaa ya bongo yamejaa mapaka nimecheka sana aisee
Habari nzuri ni kwamba inawezekana, habari mbaya ni kwamba huwezi target bellyfat kama parts zingine za mwili.dah natamani tumbo kama la huyo dada.