Fitness and wellness

Fitness and wellness

Aisee Kwa sasa nimeweza kukimbia hadi Mara 25 uwanja wa kukimbilia pia kwa sasa ninaweza kufanya Squats 250-300 kitu ambacho nime experience nimeshakua adicted Mboo yangu pia imekua ngumu kila nikichomoa dude condom nakuta imechanika mbele kwa kweli mazoezi yamenijenga sana.

Mimi kwa sasa nimehamia size 34 napenda kuvaa kadeti na mashati mwaka mzima ila ninatatizo moja naombeni members mnishauri mikono yangu midogo nataka kujaza hasa eneo la kuvalia saa nimepitia thread nzima sijaona watu wanaotaka kuongeza. Mikono ya kuvalia saa last time nimenunua saa ilibidi nipunguze mabinti walipata faida ya kutengeneza heleni na Cheni za Silva naomba mnisadie jamani
.
 
Kazini bosi mkali,mshahara umechelewa kutoka,mtoto anaumwa,chakula ndani hakitoshi....mke nyumbani malalmiko hayaishi kisha jioni uende gym,wazo lako zuri ila kumbuka sio kila kitambi ni uzembe wa kujiachia katika starehe ila vingine ni stress za maisha.
 
Mimi nina 175cm nina kg 76 natamani sana kupungua nifike 70 ila inashindikana, nakula mara moja kwa siku mchana na usiku nakula matunda au greens, sinywi bia huwa natumia pombe kali ila mara moja moja, inshort kwenye kula nina nidhamu, kukimbia nashindwa sababu nakosa company, mwili wangu ni mwepesi yaani sijaludhikana nyama wala sina tumbo mpaka sometimes nawaza labda ni u-giant maana baba yangu na mama wote ni warefu. Msaada tafadhali.
kutokula sio njia ya kupungua.ni mazoezi tuu kwa ww ni kukimbia tuu
 
Nimeshangaa sijajibiwa kama wanawake kila wakiuliza RAIA wanafunguka poa wakuu.
 
Aisee Kwa sasa nimeweza kukimbia hadi Mara 25 uwanja wa kukimbilia pia kwa sasa ninaweza kufanya Squats 250-300 kitu ambacho nime experience nimeshakua adicted Mboo yangu pia imekua ngumu kila nikichomoa dude condom nakuta imechanika mbele kwa kweli mazoezi yamenijenga sana.

Mimi kwa sasa nimehamia size 34 napenda kuvaa kadeti na mashati mwaka mzima ila ninatatizo moja naombeni members mnishauri mikono yangu midogo nataka kujaza hasa eneo la kuvalia saa nimepitia thread nzima sijaona watu wanaotaka kuongeza. Mikono ya kuvalia saa last time nimenunua saa ilibidi nipunguze mabinti walipata faida ya kutengeneza heleni na Cheni za Silva naomba mnisadie jamani
.
Mkuu pole kwa kutopata timely response na hongera kwa kufanya mazoezi na kuona mabadiliko.

Pitia hii link upate maelezo, instructions na video ya jinsi ya kufanyisha mazoezi forearms and wrist;
7 Exercises to Maximize Hand, Wrist, and Forearm Strength - Page 2

Kwa kuongezea dumbbell curls husaidia pia.
 
Ngabu ni lazima kila siku kufanya mazoezi saa nzima? Maana mie nahisi kufa kufa.
Mkuu fanya mazoezi walau siku 4 katika wiki na walau saa moja kama ukiweza. Kama huwezi basi fanya vile uwezavyo, heri nusu kitu kuliko kutofanya kabisa.

Mwili utazoea na bdae utazoe kufanya kwa muda mrefu. Labda niulize unafanya mazoezi mwenyewe nyumbani au gym, unafanya zaidi cardio au weightlifting na goal lako ni nini?
 
Shukran sana kukutana na hii thread, But I would like to know In Kariakoo area where Is the best GYM ? ?
 
Mkuu fanya mazoezi walau siku 4 katika wiki na walau saa moja kama ukiweza. Kama huwezi basi fanya vile uwezavyo, heri nusu kitu kuliko kutofanya kabisa.

Mwili utazoea na bdae utazoe kufanya kwa muda mrefu. Labda niulize unafanya mazoezi mwenyewe nyumbani au gym, unafanya zaidi cardio au weightlifting na goal lako ni nini?
Nafanya cardio zaidi na ninafanyia nyumbani. Goal zaidi kuuweka mwili fit basi.
 
Daah mwana una dharau wewe.
Kwa hiyo mleta mada ndiyo Jobless?
Mwenzako anabeba box USA ujue?
teh teh teh teh teh teh

FisadiKuu , UncleBen
Hahahaha Mali maisha yangu yenyewe ni tizi tosha

Ngoja niwaachie wenyewe

nakula ugali maharage ukibadilisha sana dagaa hizo zoezi sizitakuwa kufuru tu

Chakula chenyewe nakula mpakani mwa mchana na usiku dah
 
Nikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.

Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
 
Pole sana Mkuu, Mwenyezimungu atakusaidia!
 
Pole sana Mkuu, Mungu azidi kukutia nguvu.
 
Bila shaka itakua gari ,ndio maana unakua mkali unaposikia mada za watu wanaendesha speed hovyo hovyo

Pole sana
 
Sio gari mkuu. Ila kwenye physio session nimekutana na watu wengi waliopata ajali.
 
Nafanya cardio zaidi na ninafanyia nyumbani. Goal zaidi kuuweka mwili fit basi.
Ongeza calisthenics exercises kwenye workout routine yako kama push ups, squats, dips, crunches, pull ups, plunges and planks. Anza haya kabla ya kufanya cardio

Kwenye cardio tumia HIIT method (High intensity interval training) yani fanya cardio kwa intensity yako ya juu halafu pumzika Kidogo then rudia.

Naamini unazingatia diet maana mazoezi bila diet ni kazi bure. Good luck Mkuu
 
Back
Top Bottom