fixed account huwa ni kiasi ulichoweka x muda x rate/100
mfano unataka kuweka mil 100 fixed account kwa mwaka (miezi 12) kwa rate say 8%
calculations inakua 100,000,000 x 12/12 x 8/100 = 1,000,000/= hii uliyoipata toa 10% yake kama kodi inaenda serikalini.
10/100 x 1000000=100,000/= utabakiwa na laki tisa.
kwa hiyo baada ya mwaka utapewa zile mil100 zako pamoja na laki tisa. hivyo utaondoka na Tsh 100,900,000/= tu.
kama mlikubaliana iwe miezi 6 yaani nusu mwaka calculations zitakua zilezile isipokuwa badala ya kuzidisha kwa 12/12 itqzidishwa na 6/12 utapata kilo 5 ukiondoa kodi 10% ya hiyo unaondoka na kilo nne na nusu tu + ile mil 100 zako hayo tu ndio inavyokua na si vinginevyo. ahsante