Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

best rates zinko finca na access bank.kwa finca ni 13% kwamiezi 3 wakati kwa access bank ni 13.8% kwa miezi mitatu ila kwa mwaka ni 15%
kweli na mimi kipindi flani nilikwenda access bank wakaniambia hivyo, ni vema kuwaona na kuwauliza kisha waambie wakupigie esabu kabisa kua utaondoka na nini baada ya muda uliouchagua kufika, hawana tatizo watakusaidia
 
fixed account huwa ni kiasi ulichoweka x muda x rate/100
mfano unataka kuweka mil 100 fixed account kwa mwaka (miezi 12) kwa rate say 8%
calculations inakua 100,000,000 x 12/12 x 8/100 = 1,000,000/= hii uliyoipata toa 10% yake kama kodi inaenda serikalini.
10/100 x 1000000=100,000/= utabakiwa na laki tisa.

kwa hiyo baada ya mwaka utapewa zile mil100 zako pamoja na laki tisa. hivyo utaondoka na Tsh 100,900,000/= tu.

kama mlikubaliana iwe miezi 6 yaani nusu mwaka calculations zitakua zilezile isipokuwa badala ya kuzidisha kwa 12/12 itqzidishwa na 6/12 utapata kilo 5 ukiondoa kodi 10% ya hiyo unaondoka na kilo nne na nusu tu + ile mil 100 zako hayo tu ndio inavyokua na si vinginevyo. ahsante
Asante Mkuu kwa maelezo ingawa,niko vzr eneo Hilo. Halafu check calculations zako vzr chief
 
ni

kweli na mimi kipindi flani nilikwenda access bank wakaniambia hivyo, ni vema kuwaona na kuwauliza kisha waambie wakupigie esabu kabisa kua utaondoka na nini baada ya muda uliouchagua kufika, hawana tatizo watakusaidia
With all due respect Mkuu, hapana nakataa hio rates Mkuu. Niko kwenye field hio. Samahan lkn.
 
Halafu unakuta thamani ya Tshs 50M imeshuka kwa 6M.
Ili upate faida lazima rate of interest iwe kubwa kuliko ya inflation. Kama 50M wakati unaweka bank ungeweza kupata dola elf 25 lakin baada Mwaka 54M huwezi kupata hata dola elf 24 utasemaje umepata faida
Asubuhi nilitaka kumpiga mtu ngumi sababu ya vitu kama hiviiiii.
Our top was Mishahara ya watumishi kupanda
 
Ila kuweka ktk fixed account Wakati mwingine faida yake ni ndogo sana
 
Hivi kuna benki inayokubali fixed deposits za dola (foreign currency) na kama ndiyo interest rates zao zikoje? Kwa mfano nikiwapa dola 50,000 kwa muda wa miezi mitatu, sita au kumi na mbili watanipa ngapi? Upande wangu naona kuwa itakuwa bora kuweka fixed deposits kwa fedha za kigeni kuliko haya madafu yetu.
 
Hii nayo point sana,foreign currency its never stable,its fluctuating na mara nyingi inapanda, it is easy to generate alot of PROFIT by using foreign currency, ngoja mkuu nifanyie tafiti kwa hili nitakupa mrejesho limekaaje hili, could be something
 
Hii nayo point sana,foreign currency is real fluctuating na inapanda tu, it is easy to generate alot of PROFIT by using foreign currency, ngoja mkuu nifanyie tafiti hili nitakupa mrejesho, could be something
Kuna ac ya dollar nilikua nayo kipindi flani hapo BARODA bank, ukitoa pesa wanakata 1% ya pesa unayo draw lkn a/c haina monthly charges , haikua mbaya kivile though ni expensive maanake kwa mfano ukitoa $1000 wao wanakata 1% ambayo ni $10 hio ni almost 20,000 yetu ya madafu so hata kama uligain kutokana na fluctuations za $/tsh unakuta hakuna ulichosave, kinaishia kwenye charging cost za kutoa pesa Mkuu.
 
Real mkuu!! , ulifungua saving account ama,kwenye fomu za bank nyingi eg crdb, blanks za kujaza kuna part inauliza unaweka pesa kiasi gani na ni kwa currency gani,kwahiyo mkuu unataka kuniambia walikuwa wana deduct 1% ya nini ni kwasababu ya fluctuations ya dollar ama, labda tuulizie bank nyingine kama crdb, equity bank, exim, access bank atleast hizi bank wana utaratibu gani gharama za uendeshaji wa account, na je kwa fixed account wanakubali pia kufungua kwa pesa hizi za foreign currency.
 
Kwa apa Tanzania. Tusidanganyane ktk huduma za kibenki bado tupo nyuma sana. Kwa iyo kuweka pesa ktk benki inakuwa inashuka thamani. Kwa sbb ya uchumi wetu ni bora kuweka ktk assets kama nyumba na mashamba na sio ktk bank. Maana tuchukulia aliyeweka 1 milioni. Mwaka 2010. Kwa sasa thamani yake inakuwa imeshuka sana.
 
Unacho sema ni sahihi, na ndo maana mimi binafsi siweki zaidi ya miezi mitatu, na fixed account mimi huwa naitumia hasa nikiwa na lengo langu la baada miezi kadhaa isiyo zidi miezi mitatu.....kuliko kuweka pesa yote kwenye saving account ambayo inakushawishi kila wakati kwenda kwenye ATM kutoa, kiasi kidogo cha mahitaji ya kila siku unaweka kwenye saving account, na kingine kwenye fixed account, inasaidia kimalengo hasa,kwa hiyo miezi mitatu ni vyema unaweka hela ndefu...inaweza ukawa ba hela mkononi hela ndefu usipo kuwa makini itaisha yote pasipo baki akiba, ila fixed account ni suluhu kwa hilo jomba..
 
Hili swala la kuweka pesa kwenye fixed account unategemea kupata faida unajidanganya. Ki maerufi ndyo pesa itaongezeka ila kihesabu unaweza kujikuta unahasara hasa kwa pesa ya Tz ambayp dhaman yake inashuka kila siku. Never do such kind of investment. Invest kwenye asset na sio liabilities au assets ambazo value yake inadepreciate. Goo deal ni kama unapesa kama m80 waweza nunua asset kama gold na ikatunza bank. In years value yake itakuwa imepngezeka ukilinganisha na kutunza pesa za value yake.
Mkuu hivi mfano mtu anataka kuweka hela yake ktk fixed account sio kwa ajil ya kupata faida bali anaweka kwa specific time ili aepuke kuitumia ile hela kwa matumizi yasiyo na ulazima na lengo lake la hio hela aliyoweka lisiyeyuke...na pia kua ktk fixed account hakuna deductions za kila mwez and sort of...hio ipo vipi
 
Yah na yenyewe inawezekana
 
Mkuu hebu weka swali lako vizuri ili lijibiwe,
 
Niliwahi kusoma humu JF kuwa kwenye saccos ukiweka 2.5m baada ya miezi mitatu wanakukopesha 10m. Hii naona imekaa vizuri zaidi kuliko fixed account. Naomba wenye uelewa na hii issue watudadavulie kwa niaba ya wote.
 
Saccos ipi mkuu
 
Back
Top Bottom