FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

Sidhani kama unazo!
 
Hakafu kama ana IQ kubwa si aende akaombe kazi NASA(!?) Au mwenzetu kujadili umeme kupita au kutopita mbele ya Kanisa la Kakobe ndio kuwa na IQ kubwa?
H e cannot even identify himself hapa.....sijui kafata nini!! Siasa si hobi ya kila mtu humu na taifa hili halijengwi kwa siasa tu.......aende akaendelee kuwapigia wananchi blablah as for some of us here tumechoka, we do the real things.......(lazima umenisoma hapa)
wakwetu kwa kiwango cha hasira ulichonacho msamehe bure ameshachoka huyo

kanichafulia siku yangu......ya kwake ya high IQ yako wapi......who told that 'whoever' to poke his/her nose in here, kwa watu 'wenye akili ndogo'
 
Ha ha ha mziki wa jana ulikuwa si n'chezo alafu nilikuwa na maralia kiaaina nilivyo maliza mizinga 2 mikubwa huku nikiangalia game la Man U nimeamka asubuhi mwepesi saizi naenda kukupiga mchangani nina game taiti leo.

ahaaah mwana kila la kheri.....usiache kunipa matokeo mi leo nitakuwa faragha kidogo
 
kwa niaba ya jina langu....na according to me...mtu akiuliza swali lazma nimjibu.....FLI kama no harm on yo side.....NDIO.
 

Mimi nijuavyo mwenye IQ kubwa ni moderator wa JF ambaye alimeweka majukwaa mengi halafu membaz wenyewe watajichuja kulingana na wanayotaka kujadili na kusoma! Ukiona jukwaa fulani linaboa hamia jingine ambako utaona panakufaa! Sio kusema watu wana IQ ndogo wakati wala huwafahamu!

Ndio maana kuna hata jukwaa la mambo ya kikubwa!
Everything under one roof!
 
Misamiati mipya hiyo, si unajua tena kwenye Kiswahili Fasaha mimi ni kilaza! πŸ™‚

mamushka ni mama kwa kiswahili
mummy kwa kinyamwezi
umenielewa papushka sasa??
 

hahaaaaaa Masaki I love you soooo much hata sijamalizia kusoma ulichoandika........
 
Ndio maana kuna hata jukwaa la mambo ya kikubwa!
Everything under one roof!

Sometimes usipo zidisha huwa unamwaga mapoint wewee, vp Ubunge jimbo la Kawe haukufai?
 
Nilichojifunza FL1 na mtoa mada they know each other na ndo maana mtoa maada amekuja specifically na hataki mtu mwingine amjibie ila yeye mwenye kwa hiyo tunaweza jua mengi yaliyo njee ya hii mada.

If you go deeper unaweza jua kuwa huyu mtoa mada anamjuaa/kama siyo kumfahamu FL1 ndo maana anataka alinganishe ayasemayo hapa JF na matendo yake halisia na ndo maana amesitick kutaka kupewa majibu kwa maana nyingi s/he was objective na anachokitaka.
BHT umekuwa unamjibu kwa jaziba kweli na nikumbuka sredi ya Pearl leo kweli unaweza kuwa mkatili,unayebeba mzigo wa mwenzio hata kama hujaombwa,unayemhukumu mtu hata kabla hajahukumia,mfukunyuzi n.k
 
Pigeni vigele gele jamani, kaja sasa kutoa majibu! Naona mpka WOS ndani ya nyumba anasubiri majibu! πŸ™‚

Masaki status yangu iko vere simple sijawahi kuficha kwa mtu anayeniuliza ..Na hiyo Topic anayosema inajieleza niconfirm nn tena mie πŸ˜€πŸ˜€
na wewe unataka kujua????????????
 

Hivi hata tupokuwa shuleni kuna mtu alikuwa anashindwa soma la Siasa? Halafu eti wanaojadili siasa muda wote nchi hii leo hii ndio wanajiita wana IQ kubwa!
Kwanza siasa kama za Bongo zimejaa vilaza ndio maana hata nchi haiendelei! Kila siku wanakamatwa na digriii feki.

Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar alitangaza kuanza form one mwaka huu maana aliishia darasa la saba! Ndio wenye IQ kubwa hao!
 
akili unazo ndugu!
HOMMIE WANGU YUPO WAP/?
 

hahahaha AK inawezekana ni mmoja wa watu wanaonifahamu ameingia kwa jina jingine ..Mi sijui na ndo maana nilikosa cha kujibu ??am christian sipendi kusema lililo baya !!!
Na kama ananifahamu kwa nn anataka niweke Personal deatil zangu hapa??
Nasikia hasira !!!!!
 
Masaki status yangu iko vere simple sijawahi kuficha kwa mtu anayeniuliza ..Na hiyo Topic anayosema inajieleza niconfirm nn tena mie πŸ˜€πŸ˜€
na wewe unataka kujua????????????

Hapana, nimefurahi tu ulipojitokeza tena, maana watu walishakuwa ''concerned'' kwamba mwanzisha mada amekukwaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…