Sic March
JF-Expert Member
- Mar 2, 2019
- 690
- 906
Nimeextract bt inaleta errorzimekuaje hizo hizo znfnya nn 123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeextract bt inaleta errorzimekuaje hizo hizo znfnya nn 123
weka picha ya hiyo erro hapaNimeextract bt inaleta error
nakubaliana na wewe na mafundi wenge wa software hua wanakariri hawaelewiUkizoea kutengeneza simu za Tecno utaona kila simu ni rahisi kutengeneza. Si oppo tu kwamba ndiyo simu tata kwa maswala ya kuflash. Zipo kampuni nyingi za simu ambazo zimezuia uwezo wa flashing tools kuweza kufanya kazi kwenye simu zao.
Wana software maalum kwa ajili ya simu zao na zinapatikana service center tu, Hii ndio imeleta biashara ya remotely kwa simu aina hiyo.
ni PM mkuuKama una access ya xiomi authentication account tufanye biashara.
nina infinix x624 inasumbua frp,msaada tafazaliBasi pamekuepo na uhitaji mkubwa sana na changamoto kwa baadhi ya watu hasa pale simu zao zinapozima gafla muda mwingine kuwaka kwa kuganda hivyo wameshindwa kupata ufumbuzi au wamepata lakini kwa bahati mbaya wakashindwa kufanikiwa.
Leo tukutane hapa ntatoa tool zenye watumiaji wengi wa simu vile vile kama wewe ni fundi simu wa software kuna kitu umekosa iwe ni firmware tool DAfile NVROM na vingine vingi tukutane hapa tutagawana ujuzi na kwa mhitaji wa tool ama firmawere ata patiwa bure kabisa kwa asilimia 80.
Japo kuna baadhi ikiwa couple ya simu yake ipo kwenye malopo atalipia pia bila shaka kwa wanaofanya hizo kazi watakua wamenielewa tutaanza na flash tool moja maalufu sana kwa simu za SPD inaitwa spd upgrader
View attachment 1474611hii tool unaweza dowload kwenye hiyo link hapo chini
Download SPD Upgrade Tool (all versions)
lakini kwa simu za MTK mala nyingi watu hutumia nck clack na zingine lakini mimi hua napendelea sana kutumia miracle thunder View attachment 1474613
Ukihitaji utaomba link lakini nyingine nzuri zaidi hua tunatumia MRTdongle nimeelezea kwa uchache ili kama kuna mtu anashida yeyote inayohusina na software kwenye simu yake awasilishe na tatizo tutalichangamkia soon atapata ufumbuzi kumbuka ni kwa simu zilizokwisha kuzima kabisa ama zikiwaka hazimalizi na zingine zenye shida ndogo ndogo kama pass na FRP
NAWASILISHA
Uko wwpnina infinix x624 inasumbua frp,msaada tafazali
Bize zilikua nyingi aiseenina infinix x624 inasumbua frp,msaada tafazali
[emoji106][emoji106][emoji106]
Shida ipo kwenye PC yako mkuu funga ant vírus kwanza na uangalie PC yako kama ni 32 64 bit kisha weka winrar inayoendana na bit yako
Yan mashine ni 32bit naShida ipo kwenye PC yako mkuu funga ant vírus kwanza na uangalie PC yako kama ni 32 64 bit kisha weka winrar inayoendana na bit yako
Infinix_Smart_3_Plus_X627V_MT6761_V181_190424oya niaje wakuu,kuna IFNIX SMART 3 PLUS inazingua frp msaada!!
Dah sory frp nimekupata firmware una tool gani apo nikupe maelezo chapoya niaje wakuu,kuna IFNIX SMART 3 PLUS inazingua frp msaada!!