Flash tools or Signed Firmware

Flash tools or Signed Firmware

Ukizoea kutengeneza simu za Tecno utaona kila simu ni rahisi kutengeneza. Si oppo tu kwamba ndiyo simu tata kwa maswala ya kuflash. Zipo kampuni nyingi za simu ambazo zimezuia uwezo wa flashing tools kuweza kufanya kazi kwenye simu zao.

Wana software maalum kwa ajili ya simu zao na zinapatikana service center tu, Hii ndio imeleta biashara ya remotely kwa simu aina hiyo.
nakubaliana na wewe na mafundi wenge wa software hua wanakariri hawaelewi
 
Hyo hapo
JPEG_20200722_175542_825886566.jpg
 
Basi pamekuepo na uhitaji mkubwa sana na changamoto kwa baadhi ya watu hasa pale simu zao zinapozima gafla muda mwingine kuwaka kwa kuganda hivyo wameshindwa kupata ufumbuzi au wamepata lakini kwa bahati mbaya wakashindwa kufanikiwa.

Leo tukutane hapa ntatoa tool zenye watumiaji wengi wa simu vile vile kama wewe ni fundi simu wa software kuna kitu umekosa iwe ni firmware tool DAfile NVROM na vingine vingi tukutane hapa tutagawana ujuzi na kwa mhitaji wa tool ama firmawere ata patiwa bure kabisa kwa asilimia 80.

Japo kuna baadhi ikiwa couple ya simu yake ipo kwenye malopo atalipia pia bila shaka kwa wanaofanya hizo kazi watakua wamenielewa tutaanza na flash tool moja maalufu sana kwa simu za SPD inaitwa spd upgrader

View attachment 1474611hii tool unaweza dowload kwenye hiyo link hapo chini
Download SPD Upgrade Tool (all versions)
lakini kwa simu za MTK mala nyingi watu hutumia nck clack na zingine lakini mimi hua napendelea sana kutumia miracle thunder View attachment 1474613

Ukihitaji utaomba link lakini nyingine nzuri zaidi hua tunatumia MRTdongle nimeelezea kwa uchache ili kama kuna mtu anashida yeyote inayohusina na software kwenye simu yake awasilishe na tatizo tutalichangamkia soon atapata ufumbuzi kumbuka ni kwa simu zilizokwisha kuzima kabisa ama zikiwaka hazimalizi na zingine zenye shida ndogo ndogo kama pass na FRP

NAWASILISHA
nina infinix x624 inasumbua frp,msaada tafazali
 
Hii kazi imekuwa ya hatare sana sasa hivi matcra na mapolice wametokwa sana na mimacho yao mikubwa
 
Back
Top Bottom