Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Mgodo visa, unasemaje! Wanasayansi wanatumia uchawi (Freemason). Hayo mambo yapo wanafanya kwa siri. Nikuulize swali uchawi upo? Jibu ni kuchagua ndio au hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndoa yako kwanza kwanini ilikufa haraka vileee yaani imevunja rekodi ya duniaMwanamitindo Flaviana matata amelalamika kuna watu wameanza kuwangia biashara yake ya rangi za kucha. Maneno hayo kayatoa kupitia mtandao wa twitter
View attachment 622437
ndoa ya flavianaNdoa ipi mkuu,nilifunga nani na wapi?
Huyu naye exposure yote bado anaamini uchawi kama watandale
Bidada kama huko humu acha kuwa na Imani haba muamini Mungu maana hakuna uchawi wala uganga unaweza kumshinda acha akili za Kiswahili kuamini ushirikina nani aroge marangi ya kucha
Hata mimi hili sikulijua.Poa maana ulitumia sentensi tata. Ila ilinipita hii ya ndoa kuvunjika
Hivi ile ndoa yake ilikufa?sijawahi sikia hizi taarifa.ndoa ya flaviana
Mama yake alishafariki jamani.RIPHuyu mdada mama yake tunashinda nae humu jf Kule makapuku forum..
Tunatania tukizani ni kijana mwenzetu loo jf hii..!