Flaviana Matata alalamikia ulozi kwenye biashara yake

Flaviana Matata alalamikia ulozi kwenye biashara yake

Mgodo visa, unasemaje! Wanasayansi wanatumia uchawi (Freemason). Hayo mambo yapo wanafanya kwa siri. Nikuulize swali uchawi upo? Jibu ni kuchagua ndio au hapana
 
Hivi bado Huyu anafanya umodel Nlijua ashakuwa bibi

Ova
 
Kwa kuandika hivi maanake na yeye anaamini ushirikina...

Huyu dada toka nimsikie anahojiwa siku moja na kusema amejifikisha mwenyewe hapo alipo nilim delete...
ukiwa superstar unatakuwa uwe humble...
kuna mtu yeyote hapa duniani anayeweza sema kwenye maisha yake hakuna aliyemsaidia kwa chochote???!!!

na alikuwa ana refer kwa hao sijui ndio wanaoandaa mashindano sijui kina nani...
Kuwa shortlisted tu ukapata u miss unatakiwa useme shukrani....
 
Huyu naye exposure yote bado anaamini uchawi kama watandale
Bidada kama huko humu acha kuwa na Imani haba muamini Mungu maana hakuna uchawi wala uganga unaweza kumshinda acha akili za Kiswahili kuamini ushirikina nani aroge marangi ya kucha
 
Mbona mimi nilivyoelewa ni kwamba yeye anaponda mtu au watu ambao bado wanaamini katika huo upuuzi.

Sijaona popote hapo panapoonyesha yeye ndo anaamini.

Au sijaelewa alichoandika?
 
Huyu mdada mama yake tunashinda nae humu jf Kule makapuku forum..
Tunatania tukizani ni kijana mwenzetu loo jf hii..!
 
Back
Top Bottom