Flaviana Matata alalamikia ulozi kwenye biashara yake

Flaviana Matata alalamikia ulozi kwenye biashara yake

Huyu mdada mama yake tunashinda nae humu jf Kule makapuku forum..
Tunatania tukizani ni kijana mwenzetu loo jf hii..!
Mama yake yupi?
Mama alifariki siku nyingi kwenye ajali ya MV bukoba
 
Imani juu/za Kishirikina ni kipimo cha Mtu kutokwenda Shule ama kukosa Imani katika Mafundisho ya Dini yake...!!

Kuna faida gani yeye (Flavian) kutembelea ama kuishi USA vipindi kadhaa...!!

Aboreshe biashara zake tu kwa kuongeza ubunifu, aache kuendekeza mambo ya Kiswahili...
Umesoma lakini zile Tweets za Flaviana pale juu kabla hujaandika hiki ulichoandika??
Au umeandika based on title ya huu uzi??
 
Mbona mimi nilivyoelewa ni kwamba yeye anaponda mtu au watu ambao bado wanaamini katika huo upuuzi.

Sijaona popote hapo panapoonyesha yeye ndo anaamini.

Au sijaelewa alichoandika?
Watu na chuki zao tu, tena kaeleza vizuri sana.
 
Back
Top Bottom