Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,149
- 2,232
Mwasele karbia na St.Anne afu kasomea Kambarage primary!! Afu asiamini uchawi mtoto wa Shy townFlaviana hivi kwao ni Shinyanga kama sijakosea!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwasele karbia na St.Anne afu kasomea Kambarage primary!! Afu asiamini uchawi mtoto wa Shy townFlaviana hivi kwao ni Shinyanga kama sijakosea!!!!!
Buswelu hii ya MwanzaToto la buswelu..nina joka apa linatafita shimo
Huu sasa ndio uhalisia wake. Na yeye ni walewale.Huyu nae kumbe ana uswahili kama wakina naniii.....,
Wee ndoa yake na yule mchanaga chaliii?ndoa
ndoa yako kwanza kwanini ilikufa haraka vileee yaani imevunja rekodi ya dunia
Shoga hebu nipe huu ubuyu?Poa maana ulitumia sentensi tata. Ila ilinipita hii ya ndoa kuvunjika
Mama yake yupi?Huyu mdada mama yake tunashinda nae humu jf Kule makapuku forum..
Tunatania tukizani ni kijana mwenzetu loo jf hii..!
Umesoma lakini zile Tweets za Flaviana pale juu kabla hujaandika hiki ulichoandika??Imani juu/za Kishirikina ni kipimo cha Mtu kutokwenda Shule ama kukosa Imani katika Mafundisho ya Dini yake...!!
Kuna faida gani yeye (Flavian) kutembelea ama kuishi USA vipindi kadhaa...!!
Aboreshe biashara zake tu kwa kuongeza ubunifu, aache kuendekeza mambo ya Kiswahili...
Watu na chuki zao tu, tena kaeleza vizuri sana.Mbona mimi nilivyoelewa ni kwamba yeye anaponda mtu au watu ambao bado wanaamini katika huo upuuzi.
Sijaona popote hapo panapoonyesha yeye ndo anaamini.
Au sijaelewa alichoandika?