Flavour Nabania kutoka Nigeria athibitisha kuwepo Wasafi Festival Nangwanda Mtwara

Halafu kijana una shobo sana. Kwa hio unataka kunipangia cha kukoment? Pasuka sasa na bado ntazionyesha hizo chuki uzisemazo.

Ikikuuma kula doko
Alafu sister una chuki sana na vijana Wa WCB nimekufatilia kwa mda mrefu nimeliona hilo sikia nikwambie sister mziki ni kazi na ni ajira mziki umeajir vijana wengi sana ambao kwa sasa nahisi wangekuwa vibaka tu. Mziki ndo kimbilio letu sisi vijana ambao hatujasoma. Kwa hiyo tunahitaji Mapinduz katika music ili wasanii tunufaike na vipaji vyetu hatutaki unyonyaji kwenye music tunataka haki

Diamond amemua kuitafuta haki, kupitia diomond kuna watu wanaishi wanakula na kusaza kwahiyo acha chuki Dada yangu. Kesho mtwara kuna vijana wenzetu wanaenda kupiga hela kupitia mgongo Wa hao vijana Wa WCB.

Mungu hapend chuki biblia inasema mwenye chuki huumia moyo sana. Kwahiyo acha chuki kwa binadam wenzako

Wasafi festival haipo kwa bahati mbaya.

LONDON BOY, BLACK ENGLAND
 
huyo mwanamke achana naye stress za ugumba zinamsumbua mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umepanic
Kuna member kasema una stress za ugumba ni kweli?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umepanic
Wewe ni Dada Yangu siwez kupanik juu yako nilikuwa nakuelekeza tu mpendwa wangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kibaraka wa soudy brown ww tumeshakujua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sitak utingishike Mimi nataka uache roho mbaya. Sawa sister
Na bado
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado
Utaumia moyo sana nakuonea huruma.

Kwani wewe ni msakin sana yaan fukara Wa kutupwa au? Maana Masikin ndo huwaga wana roho mbaya sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anayeumia ni wewe mpaka unahangaika kunijibu. Kumbuka sijaquote mtu ee

Back
Top Bottom