Flavour Nabania kutoka Nigeria athibitisha kuwepo Wasafi Festival Nangwanda Mtwara

Flavour Nabania kutoka Nigeria athibitisha kuwepo Wasafi Festival Nangwanda Mtwara

wasafi festival fananisheni na 'In Love and Money Tour', ...ya Jux na Vee Money
 
ila we ulichukia sana ndo shida ipo hapo,mapenzi yote yaliegemea kwenye couple yao.Saivi haipo kubali matokeo rudi chama la wana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zari alimuacha dai ujue.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jaman jaman argument ya jana unaiendeleza leo. Mb ngumu ee pole.
ila we ulichukia sana ndo shida ipo hapo,mapenzi yote yaliegemea kwenye couple yao.Saivi haipo kubali matokeo rudi chama la wana
 
Wanajua wakulima hata KUKOPA basi WATAKOPA ili waende, halafu zikitoka watalipa. [emoji53]

Ushasikia mtu anachukua MKOPO ili AKAFANYE STAREHE, halafu atalipa? Ndio hii sasa
Unaanzaje kukopa 10000 ili uzame wasafi festival?
 
Back
Top Bottom