Flavour Nabania kutoka Nigeria athibitisha kuwepo Wasafi Festival Nangwanda Mtwara

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado
Hakuna mafanikio pasipo kuwa na chuki na Mafanikio huleta maadui wengi ........ Watu kama wewe ni lazima muwepo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeona ee
Hakuna mafanikio pasipo kuwa na chuki na Mafanikio huleta maadui wengi ........ Watu kama wewe ni lazima muwepo
 
Nimeshakua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kitu vuzi nje nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu akikua atakuwa mchawi
 
Kijiji gani unaongelea wewe ......hivi unadhani huko kwenu rukwa ni sawa na mtwara eeeh???
Kwa kukutaarifu tu, Nanyamba ndio wamelipa leo waliopeleka korosho ghalani kuanzia tarehe 15 mpaka 23..

I'm much updated kuliko hata wewe, na vijiji vyote vya huko navifahamu hata kama siishi huko.

Kama utaenda huko kwa Wasafi PM nikupe pesa ukanywe bia huko. Niko hapa Tiffany Hotels..
 
huyo msamehe,ni team wasafi pure sema ndo wale waliochukia diamond kumuacha zari, we mwambie tu ukiachwa achika
Alafu sister una chuki sana na vijana Wa WCB nimekufatilia kwa mda mrefu nimeliona hilo sikia nikwambie sister mziki ni kazi na ni ajira mziki umeajir vijana wengi sana ambao kwa sasa nahisi wangekuwa vibaka tu. Mziki ndo kimbilio letu sisi vijana ambao hatujasoma. Kwa hiyo tunahitaji Mapinduz katika music ili wasanii tunufaike na vipaji vyetu hatutaki unyonyaji kwenye music tunataka haki

Diamond amemua kuitafuta haki, kupitia diomond kuna watu wanaishi wanakula na kusaza kwahiyo acha chuki Dada yangu. Kesho mtwara kuna vijana wenzetu wanaenda kupiga hela kupitia mgongo Wa hao vijana Wa WCB.

Mungu hapend chuki biblia inasema mwenye chuki huumia moyo sana. Kwahiyo acha chuki kwa binadam wenzako

Wasafi festival haipo kwa bahati mbaya.

LONDON BOY, BLACK ENGLAND
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
we nae ukiachwa achikaaaaaaa khaaaaaaaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zari alimuacha dai ujue.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huyo msamehe,ni team wasafi pure sema ndo wale waliochukia diamond kumuacha zari, we mwambie tu ukiachwa achika
 
Maskini daah mnatia huruma. Kwan zari alimtosa ili kijana akaombe kurudiwa?kila baada ya muda lazima muenda sauz kisingizio watoto bwahahahahahah
Zari hana jeuri ya kumuacha chibu wewe,ndio.maana hata humsikii Kijana wa watu akilalamika au akiomba kurudiana na huyo ajuza
 
Alafu sister una chuki sana na vijana Wa WCB nimekufatilia kwa mda mrefu nimeliona hilo sikia nikwambie sister mziki ni kazi na ni ajira mziki umeajir vijana wengi sana ambao kwa sasa nahisi wangekuwa vibaka tu. Mziki ndo kimbilio letu sisi vijana ambao hatujasoma. Kwa hiyo tunahitaji Mapinduz katika music ili wasanii tunufaike na vipaji vyetu hatutaki unyonyaji kwenye music tunataka haki

Diamond amemua kuitafuta haki, kupitia diomond kuna watu wanaishi wanakula na kusaza kwahiyo acha chuki Dada yangu. Kesho mtwara kuna vijana wenzetu wanaenda kupiga hela kupitia mgongo Wa hao vijana Wa WCB.

Mungu hapend chuki biblia inasema mwenye chuki huumia moyo sana. Kwahiyo acha chuki kwa binadam wenzako

Wasafi festival haipo kwa bahati mbaya.

LONDON BOY, BLACK ENGLAND
Vodacom wasafi festival nogesha upendo ilifia wapi...kazi sana kuangusha mbuyu kwa kiwembe...show ya walevi sponsor Pepsi kwani kaswida🙂)
 
Back
Top Bottom