Hakuna mafanikio pasipo kuwa na chuki na Mafanikio huleta maadui wengi ........ Watu kama wewe ni lazima muwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado
Huyu akikua atakuwa mchawikibaraka wa soudy brown ww tumeshakujua
Hakuna mafanikio pasipo kuwa na chuki na Mafanikio huleta maadui wengi ........ Watu kama wewe ni lazima muwepo
Huyu akikua atakuwa mchawi
Watu wamejaa roho mbaya tu.!usiwasemee watu wewe,kama buna hela ni wewe.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Tatizo lako we ni mwanamke....!!!
Kwa kukutaarifu tu, Nanyamba ndio wamelipa leo waliopeleka korosho ghalani kuanzia tarehe 15 mpaka 23..Kijiji gani unaongelea wewe ......hivi unadhani huko kwenu rukwa ni sawa na mtwara eeeh???
Alafu sister una chuki sana na vijana Wa WCB nimekufatilia kwa mda mrefu nimeliona hilo sikia nikwambie sister mziki ni kazi na ni ajira mziki umeajir vijana wengi sana ambao kwa sasa nahisi wangekuwa vibaka tu. Mziki ndo kimbilio letu sisi vijana ambao hatujasoma. Kwa hiyo tunahitaji Mapinduz katika music ili wasanii tunufaike na vipaji vyetu hatutaki unyonyaji kwenye music tunataka haki
Diamond amemua kuitafuta haki, kupitia diomond kuna watu wanaishi wanakula na kusaza kwahiyo acha chuki Dada yangu. Kesho mtwara kuna vijana wenzetu wanaenda kupiga hela kupitia mgongo Wa hao vijana Wa WCB.
Mungu hapend chuki biblia inasema mwenye chuki huumia moyo sana. Kwahiyo acha chuki kwa binadam wenzako
Wasafi festival haipo kwa bahati mbaya.
LONDON BOY, BLACK ENGLAND
Hayo maelekezo/kashfa yatunze mie wala sitingishiki
we nae ukiachwa achikaaaaaaa khaaaaaaaaaaa
huyo msamehe,ni team wasafi pure sema ndo wale waliochukia diamond kumuacha zari, we mwambie tu ukiachwa achika
Zari hana jeuri ya kumuacha chibu wewe,ndio.maana hata humsikii Kijana wa watu akilalamika au akiomba kurudiana na huyo ajuzazari alimuacha dai ujue.
Watu wa Mtwara wana hela ya Korosho....hao jamaa waliopanga tamasha huko walifikiria kabla yakoTamasha kubwa kama hilo unapelekaje porini huko...Wasafi na wao ni vichwa maji
Tamasha kubwa kama hilo unapelekaje porini huko...Wasafi na wao ni vichwa maji
Zari hana jeuri ya kumuacha chibu wewe,ndio.maana hata humsikii Kijana wa watu akilalamika au akiomba kurudiana na huyo ajuza
ashki majinunMaskini daah mnatia huruma. Kwan zari alimtosa ili kijana akaombe kurudiwa?kila baada ya muda lazima muenda sauz kisingizio watoto bwahahahahahah
ashki majinun
Vodacom wasafi festival nogesha upendo ilifia wapi...kazi sana kuangusha mbuyu kwa kiwembe...show ya walevi sponsor Pepsi kwani kaswida🙂)Alafu sister una chuki sana na vijana Wa WCB nimekufatilia kwa mda mrefu nimeliona hilo sikia nikwambie sister mziki ni kazi na ni ajira mziki umeajir vijana wengi sana ambao kwa sasa nahisi wangekuwa vibaka tu. Mziki ndo kimbilio letu sisi vijana ambao hatujasoma. Kwa hiyo tunahitaji Mapinduz katika music ili wasanii tunufaike na vipaji vyetu hatutaki unyonyaji kwenye music tunataka haki
Diamond amemua kuitafuta haki, kupitia diomond kuna watu wanaishi wanakula na kusaza kwahiyo acha chuki Dada yangu. Kesho mtwara kuna vijana wenzetu wanaenda kupiga hela kupitia mgongo Wa hao vijana Wa WCB.
Mungu hapend chuki biblia inasema mwenye chuki huumia moyo sana. Kwahiyo acha chuki kwa binadam wenzako
Wasafi festival haipo kwa bahati mbaya.
LONDON BOY, BLACK ENGLAND