Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Theory zimekuwa nyingi, sasa nangoja theory ya "aliens" na UFO zao kuhusika.
food for thought brother Liganga. Hivi ndo vinatakiwa jf .
Safiiiiiii Invisible Hii ina deserve kuwa Sticky thread please please ifanyie haki. Asante sana sana kwa uchambuzi murua
Liganga ni muongo.
Kichwa cha habari na utumbo wa habari vitu tofauti. Wewe itakuwa ni kanjanja wa magazeti ya udaku.
Kichwa cha habari umetufanya tufikiri kuwa ndege imepatikana kumbe ni uongo na theory tupu ulizozijaza kwenye utumbo wa habari.
Tukisema Mitanzania iliyo mingi ni miongo yakutupa mnakasirika.
Moderator wa hili jukwaa tutendee haki kwa kubadili kicha cha habari kiendane na utumbo ulioandikwa.
Fikiri kama kuna msomaji ana ahli zake humo kwenye hiyo ndege, dissapointment atayoipata baada ya kuusoma huu utumbo wa Liganga.
Kichwa cha habari hususan neno "kupatikana" linadanganya na limetufanya tuisome habri na tukakuta utumbo ni tofauti na matarajio ya "kupatikana" kiukweli.
Hapa tuliopatikana ni sisi na si ndege iliyopotea.
Sioni kwanini uone uongo kuwa unafaa kuwekwa kwenye sticky. Labda kichwa cha habari kibadilishwe na kuwa "kutopatikana"...
Hii post imeshiba, lazima mojawapo litaleta ukweli.
Hii ngoma bado mbichi aisee.