FLIGHT 370: Kupatikana kwa ndege ya abiria ya shirika la Malaysia - Inawezekana?

FLIGHT 370: Kupatikana kwa ndege ya abiria ya shirika la Malaysia - Inawezekana?

Aisee we jamaa unajua sana Dah! Nimeelimika sana kwenye hili suala. Ubarikiwe
 
Kaka umefunika, nadhani JF ilianzishwa kwa malengo kama haya, kwa maana watu watoe mada zenye kumfanya mtu afikiri na kunufaika. Hii ndiyo maana halisi ya The Great thinkers. Big up brother kwa habari zilizoenda shule

watu wanamkejel wengime
 
Liganga uchambuzi wako muafaka, nina wasiwasi mchezo mchafu umefanyika hapa maana kuna patent right ya kifaa ambapo wenye hiyo haki wanne wamo kwenye hiyo ndege amebaki Rothschild pekee hivyo kutamfanya kuwa na patent right ya 100% peke yake.

Mmmmh...!! huo ukoo kwenye blue huo...!! inaongeza mashaka.
 
Kuhusu suala la baadhi ya Simu za viganjan za Abiria kuwa zibapatikana hii inatia Mashaka Makubwa sana.
Kuna kitwa kinaitwa Location Area kwenye technolojia ya Simu za Mkononi iwe GSM/UMTS na hata CDMA2000.
Hivyo basi hiyo ingepelekea kabisa kuweza ku trace na kujua hiyo simu iko wapi and hence Possibility/Clue ya mahali Ndege ilipo.
Ok let wait and see.
Binafsi naoneka sana kumuamini TB Joshia regarding this mattrr
 
Back
Top Bottom