Mkuu nadhani wewe kazi yako ni kutafuta mapungufu tu huna jipya zaidi. Nenda kwenye jukwaa la sias. I doubt If you even have a knowledge of physics. Poor you
Liganga ni muongo.
Kichwa cha habari na utumbo wa habari vitu tofauti. Wewe itakuwa ni kanjanja wa magazeti ya udaku.
Kichwa cha habari umetufanya tufikiri kuwa ndege imepatikana kumbe ni uongo na theory tupu ulizozijaza kwenye utumbo wa habari.
Tukisema Mitanzania iliyo mingi ni miongo yakutupa mnakasirika.
Moderator wa hili jukwaa tutendee haki kwa kubadili kicha cha habari kiendane na utumbo ulioandikwa.
Fikiri kama kuna msomaji ana ahli zake humo kwenye hiyo ndege, dissapointment atayoipata baada ya kuusoma huu utumbo wa Liganga.
Nashukuru FaizaFoxy kwa maoni juu ya kichwa cha andiko hili na hasa Moderator kwa kuchukua hatua.
Kwa wasomaji waliokwazwa kwa namna yoyote niwieni radhi. Kuna mitindo mingi ya uandishi wa habari, makala na vitabu. Nahamini wengi wenu mmepata kusoma fasihi au lugha katika ngazi mbalimbali. Haikuwa kusudio kuleta upotoshaji wa aina yoyote bali dhima kuu iliyokwenye andishi ni kuchokoza akili na kupata mitazamo mingine wakati tukiendelea kutafakari yaliyojili kwa ndege ile na abiria wake.
hao tushawazoea humu angekuwa mwengine tungeshangaa ila kuna chata zinafamika hapaUna busara kubwa kuliko hao wanaotaka kupuuza juhudi zako katika kuleta habari hii.
hao tushawazoea humu angekuwa mwengine tungeshangaa ila kuna chata zinafamika hapa
Kumbuka kuwa hakuna kitu kibaya katika kuandika habari muhimu kama hii kama hadaa na uongo.
Jee, wewe umefurahishwa na hadaa iliyofanyika? Utakuwa ni punguani wa fikra kama mapungufu hayo ya hadaa na uongo yamekufurahisha.
Yes. Mimi nasoma sana mapungufu na huwa sipendi kudanganywa na wengine wengi kudanganywa. Ni ama nyeusi ama nyeupe lakini si kijivu.
Mbona unatoa povu hvyo kwani kakushika wapi.
Sidhani hata kama umesoma habari yenyewe na kama hii analyisis ni uongo lete ya kwako iliyo kweli na isiyo na doubt.
Ukweli ni kuwa ndege haikupatikana. Na kututamanisha kwa kuanza na maneno "kupatikana kwa ndege..." Ni uongo dhahir shahir.
Ni punguani tu ataekataa hilo.