Flora kwisha habari yake,Mbasha amtambulisha mama mchungaji,Snura anasubiri

Flora kwisha habari yake,Mbasha amtambulisha mama mchungaji,Snura anasubiri

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Baada ya Flora kufeli kumpa kesi nzito ya kuhujumu uchumi aliyekuwa baba mchungaji Emma Mbasha ,hatimaye jamaa amemtambulisha mchumba wake kwa jamii na wanatarajia kutoa albamu yao mpya ya pamoja baada ya harusi yao hapo mwezi wa pili.
IMG_20181123_214121_259.JPG

Wakuu yapi maoni yenu
 
Hivi ile list ya mashoga aliyotuahidi kijana Mbasha itatoka lini ?
 
Baada ya Flora kufeli kumpa kesi nzito ya kuhujumu uchumi aliyekuwa baba mchungaji Emma Mbasha ,hatimaye jamaa amemtambulisha mchumba wake kwa jamii na wanatarajia kutoa albamu yao mpya ya pamoja baada ya harusi yao hapo mwezi wa pili. View attachment 944330
Wakuu yapi maoni yenu
huyu jamaa mi huwa namuonaga mshamba mshamba flani hivi,sijui ni msukuma huyu au mpare wa bwiko huko?
 
Baada ya Flora kufeli kumpa kesi nzito ya kuhujumu uchumi aliyekuwa baba mchungaji Emma Mbasha ,hatimaye jamaa amemtambulisha mchumba wake kwa jamii na wanatarajia kutoa albamu yao mpya ya pamoja baada ya harusi yao hapo mwezi wa pili. View attachment 944330
Wakuu yapi maoni yenu
Jamaa inaonekana anapenda sana nyuma. Hayo ndio maoni yangu
 
Back
Top Bottom