Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Huyo chura kitaa anaitwa "unga robo".Kabisa sijaona msambwanda wowote.
Ukicheza mbali hata uji hunywi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo chura kitaa anaitwa "unga robo".Kabisa sijaona msambwanda wowote.
Ni rafiki wa John Ntalimbo pale shinyanga.. Wenyeji wanafahamu vizuri mienendo yao.Ana sura ya kimbulu hivi.
Yule Flora Mbasha ataadhibiwa na Mungu.
Pole mfia dini!!! Acha watu wale mema ya duniaAnafanya uzinzi tuu,
Ndoa iliyofungwa kanisani inatenganishwa qa kifo tu.
Ana onyesha Mungu alichombariki ahahahaahMapaka mama Mchungaji anatuonesha chura wa "unga robo" ?
Hapo ndipo utajua Mungu hayupo, angekuwepo, Mama mchungaji angekuwa na heshima kidogo.
Mpaka huku mkuu??????[emoji23][emoji23]Mapaka mama Mchungaji anatuonesha chura wa "unga robo" ?
Hapo ndipo utajua Mungu hayupo, angekuwepo, Mama mchungaji angekuwa na heshima kidogo.
Ila kwa uzinzi ruksa imetoka wacha mbasha ale mema ya duniaAnafanya uzinzi tuu,
Ndoa iliyofungwa kanisani inatenganishwa qa kifo tu.
ni bora aoe tu kwani hawezi kuvumilia.Anafanya uzinzi tuu,
Ndoa iliyofungwa kanisani inatenganishwa qa kifo tu.
umeanza lini kuamini uwepo wa Mungu?Mapaka mama Mchungaji anatuonesha chura wa "unga robo" ?
Hapo ndipo utajua Mungu hayupo, angekuwepo, Mama mchungaji angekuwa na heshima kidogo.
Hiyo Dp yako sasa.. hua nahisi unacheka mda woteWanawake tuna roho nzuri sana.
mchagga maslahi kwanzaBaba mchungaji anoa vipaji
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Hamna chura kabisa hapo.Huyo chura kitaa anaitwa "unga robo".
Ukicheza mbali hata uji hunywi.
Bishop hatampangisha 'loji' kweli?...
cc The bold kwa sasa Habib
hamna kitu kama hicho, Flora alimpitisha sana mme wake, mtu kupewa kashfa ya kubaka mzee sio kitu kidogo.Wanawake tuna roho nzuri sana.
Hivi Mbasha ni msukuma? Nataka nimwongeze kwenye orodha yangu ya wasukuma washamba na malimbukeni
nijuavyo Mbasha ni wachaggaHivi Mbasha ni msukuma? Nataka nimwongeze kwenye orodha yangu ya wasukuma washamba na malimbukeni