Flora Mbasha aandaa mkakati kuondoa "Mbasha" katika utambulisho wake

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
13,437
Reaction score
14,927
Hizi ni tetesi ambazo wadau wa sheria wamenikonyeza na mimi kuamua kuziweka hapa,haijulikani atarudisha jina la baba yake au ataweka la mchungaji mmoja maarufu, inasemekana jina hilo litaonekana katika albamu yake ambayo imejaa vijembe na kumtukuza mwandani wake mpya
 

Episode ya ngapi hii???
 
Hali hii inatisha km ndo hivyo....
Na kumbe
Michael jackson hakuoa aliona mbali ..akakubaliana na hali halisi ya kizazi
maana naamini kila mtu anapenda kuwa na mwenza all life in imagination..
Issue kuileta image kwenye uhalisia ndo shida apo sasa
 
kama ni kweli amedhamiria kwa kweli. Nilikuwa namcheki mbasha youtube alikuwa anaongea kwa masikitiko makubwa huku akionekana kukata tamaa kabisa. Hati za nyumba, nyaraka muhimu za makampuni waliyokuwa wanamiliki kwa pamoja vyote bibie kahamisha
 
Abadilishe jina kwani wamepeana talaka? That's very long procesd
 
Ni matumaini yangu hatamwimbia Mungu tena!. Haya ndiyo matatizo ya wanaodhani Neno kuokoka litumike kuwavusha kutoka hatua moja kwenda nyingine! Akishavuka anarudi katika hatua ya mwanzo. Si unajua Tabia haina dawa. Matokeo ndiyo hayo, hilo pepo la Mahaba likimwachia atajitambua tu.
 

wewe ni mbeya kwelikweli habari zenu za kutakatujaze server tumechoka weka chanzo cha habari na iwe ya uhakika acha umbea kuchota akili za uma aisee tupia chanzo apo kieleweke
 

Huyu flora nae kaishiwa sera.anajifanyalokole kumbe hakuna kitu.
 
Dini za siku hizi ndio zilivyo ni uweshelati na wizi ni vitu vipo.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Inabidi hii habari aipitishe The bold ndio tutaamini.
 
Last edited by a moderator:
arudishe sir name ya baba yake

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Du kaona chopa unafikiri atakubali kurudi tna mbasha
 
Acheni majungu!! toeni habari ambazo mna uhakika nazo

ni kweli kabisa. ebu acheni majungu. hamna hata uhakika. mbasha nae anajikosha anaona alichofanya hakifai anataka mwenzie na achafuke. Lakini Mungu ndo anaejua ukweli
 
Mkuu inaonekana wewe Ni wakili, halafu amekufuata umtengenezee deed poll au affidavit of names
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…