Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi kinachokushangaza hapo Flora kuzaa nje ya ndoa "kama ni kweli" Kwani yeye ndiyo wa kwanza?,
Mbona mume wake kabaka Shemeji mbona wanaume wengi wamezaa nje ya ndoa weengi tu!
Acheni hizo mnajipandia laana kwa maneno ya vinywa vyenu!
Imeandikwa mwanaume akizini ni haki yake! Ila mwanamke ni dhambi!!!!! Katafute kwenye makabeli
ndo maana wao kutwa kuleta watoto wa nje ila akifanya mke
talaka na laana ukoo mzima
Duh wewe ni shiiidaaa .pole kwa mwenza wako .au wewe ndiye Flora .mwanaume akizaa nje anaongeza ukoo wao je wewe ukizaa nje unaongeza ukoo wa baba yako ?,think twice !
ndo tatizo lenu wanaume hampendi kuambiwa ukweli mchungu kiapo cha pale kanisani tunaapa wote
mimi sio florah na wala mme hajanifanyia hvyo
ila mbasha kwa wanaomjua ni kicheche hatari huo ndo ukweli namjua sana emma
Unajisikia fahari kuleta damu ya koo nyingine kwenye koo ya mumeo ili baadae ulete maafa .yawezekana hata misahafu huijui
Hivi kaka yako akikuletea mtoto wa nje ya ndoa na baadae mke wa kaka yako akakuletea mtoto wa nje ya ndoa wewe utamlea mtoto yupi .ukipewa uchague mmoja .hata kama emma ni kicheche bado hiyo si tiketi ya flora kuzaa na mtu mwingine
kosa kuzaa hapo sikatai ila florah asirushiwe sana mawe
ndoa bwana sijui nisemeje
hahahahahahhaaaa nimeiona ile picha aiseee full mtumishi, ndio tatizo la watoto wa nje ya ndo. Niko nazo pia kuna mahali nimezipata. Dah inauma sana aiseee
daima ukweli huuma.ondoa uzushi wako wa kishetani hapa. Kwenda huko pepo uwongo!!!!!!!!!!!.
Pyuuuuuuuuuu!.
Mtaendelea kujijengea laana hadi lini? Mtamsaidia shetani huku mkidhani mnajifurahisha hadi lini? Kwenda zako kule.
Geniveros watu hawajui tu mateso mangapi ameyavumilia kwa mbasha ni Mungu tu anajua jinsi mbasha alivyo mnyama na katili na frola alimtamani sana mtoto siku nyingi mimba insingia ndio maugomvi yamekolea mtoto ni wa mbasha wanamchafua tu flola lakini Mungu atampigania mi nawafahamu sana hawa kwa karibu mbasha ni mnyanyasaji alikuwa anamnyanyasa na kumpiga sana flola ni vile mwanamke anaishia kukandamizwa
Haka katoto kataleta mambo, hakafanani na Gwajima wala Mbasha. Kanafanana na naibu waziri wa fedha.
Wanasema hata shetani alikua msanii( mwimbaji).

Mhhh! sina lakusema ila naona kama chumvi imezidi kidogo.
Mwenzangu naona teknolojia inanishinda kutumia naona picha imegoma kuatachika,Flora kajifngua mtoto anafanana na naniliiiiii kabisakabisa