Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

DNA zinasemaje? Mleta mada Fanya research kabla ya kuhusianisha picha
 
Kama si ushetani ni kitu gani kinakufanya ufurahie kusema uwongo kwamba ni mtoto wa Mch. Gwajima wakati Emannuel hajakataa si mtoto wake, Frola anasema na mtoto wa Emmanuel, Mchungaji amesema si mtoto wake, halafu hakuna DNA imepiimwa.

Ondoa wendawazimu wa shetani hapa.

Pyuuuuuuuuuuuuuuuu!



daima ukweli huuma.
Ni sawa na dawa
chungu lakini ......
....
 
Kwajima mimi najua ni tapeli haya mengine ya uzinzi sijui.
 
Duuh dogo ana bahati dingi ake ana helicopter
 
Huyu mchungaji ni kiboko.
Nasikia akihubiri, wanawake wooote wanapata mimba!
Ni kweli hiyo wajameni?
 
Tuwape muda Mungu hawafichi wanafiki hats siku moja.
 
Pamoja na kwamba ni tetesi wapime DNA kuondoa ubishi!
 
Kwani huyo Flora aliondoka lini kwa mumewe? Tunajuaje kama alikuwa mjamzito? Nimeona kwenye gazeti ya Mtanzania akipinga kuwa picha ya mtoto.inayosambazwa siyo ya mwanawe.
 
Back
Top Bottom