Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Jamaniee ni kwa nini mtumishi wa Mungu ahusishwe kweli skendo mbaya kiasi hicho?ni hivii mtumishi wa Mungu hapaswi kushutumiwa jamani!!ebu niambieni atawavunja wangapi nguvu za kusonga mbele na wokovu kama ndiyo hivyo????tukomae jamani ili neno la MUNGU lisitukanwe
 
mtoto wa emma huyo jamani
hebu muacheni dada wa watu apumzike
 
Aliekwambia Gwajima ni mchungaji ni nani? Yule ni msanii kama walivyo wasanii wa mjini.Namaanisha tapeli ila sasa yeye Gwajima utapeli wake anatumia mazingaombwe ya kisukuma.Take care siku za mwisho hizi manabii wa uongo akina Gwajima ndio hao.
Naye ni msukuma?!
 
gwajima wewe ni kidume cha mbegu. Demu umechukua na mimba pia umemdunga ?
 
Aliekwambia Gwajima ni mchungaji ni nani? Yule ni msanii kama walivyo wasanii wa mjini.Namaanisha tapeli ila sasa yeye Gwajima utapeli wake anatumia mazingaombwe ya kisukuma.Take care siku za mwisho hizi manabii wa uongo akina Gwajima ndio hao.

hahahahaha!i like this.
 
Tito 1:7
Maana imempasa Askofu asiwe mtu wa kushutumiwa kwa LOLOTE kwa kuwa ni WAKILI wa Mungu
Mchungaji wangu Gwajima hali ndiyo imefikia hapo kweli?nikuulize swali ni kwa nini hasa ushutumiwe kwenye mambo kama hayo??????????hivi unafahamu historia ya hao watu wawili??unaonaje ukiheshimu kazi ya yule mzee wetu aliyetangulia kwa kuheshimu familia yake????halafu mbona yule mzee wetu aliyeheshimika sana kwa kazi iliyotukuka hakushutumiwa kwenye mambo kama hayo???mchungaji jiangalie upya

View attachment 224512
Kamwe usipoteza muda na manabii wa uongo na dini za za mpito
 
Hatimaye mrithi wa kanisa na ufufuo na uzima amezaliwa,haleluya!!!
 
Dah! so sad, Flora anatuimbia nyimbo za Mungu kumbe ni mzinifu! aibu, kuanza leo siwaamini tena walokole.

Walokole wengi fake ingawa si wote, nimeona kwa macho yangu, jamaa wangu alikuwa hajaokoka kamgonga mama yake mdogo ambaye ni binti tu ambaye alikuwa mlokole, jamaa nae saivi kaokoka.
 
""as long as your mama loves ya don't ever love a woman....wale"
 
Jamii Forum ni ni kama Kokoro - linavua kila uchafu. Ila ningeomba waleta mada wawe waangalifu na mada wanazozileta hapa jukwaani.
1. Lengo la forrum ni kufundisha,kukosoa, kuelimisha kujenga. Tusipafanye kijiwe cha porojo za vijiweni na mihemko isiyojenga.
2. Mtu akiwa na bifu na mwanasiasa au mtu yeyote amepafanya JF ndipo pa kunolea makali ya panga zao za kukata shingo za unayetaka kukata
3. Iwe Lowassa, Gwajima au membe - tuwe watu wenye misimamo na viwango (Principles and Standards) maana tukiendelea kwa kasi hii, tutaishia kuwa kuwa watu wa hoja za vijiwe vya gahawa!
4. Ni vizuri tukawa watu wa kupima mada kwanza kabla ya kuileta mjengoni ijadiliwe! Tuepuke kujadili hisia - tujadili hoja!

Sasa wewe hapa unaongea nini?? Sura ya mtoto ni GWAJIMA yaani Mungu kamuumbua.Kwa akili yako huwezi kuona kwamba huyo mtoto anafanana na GWAJIMA? Acha ukweli usemwe wazi.Nini kinakuuma katika ukweli huu? Hii ndio kazi ya utandawazi.Nabii wa uongo kaumbuliw.Mungu alisema hao manabii FEKI mtawajua kwa usanii wao.Haya GWAJIMA KASHAUMBUKA.
 
Walokole wengi fake ingawa si wote, nimeona kwa macho yangu, jamaa wangu alikuwa hajaokoka kamgonga mama yake mdogo ambaye ni binti tu ambaye alikuwa mlokole, jamaa nae saivi kaokoka.

Mi kuna mmoja ananiandalia mazingira nimgonge aisee, mi namkwepa, naona kama alishayavaa mawaya vile! yani alichenj ghafla na kuzama baada ya kurudi toka sehemu za machimboni ambako aligawa sana uroda na sasa kajifanya kuokoka.
 
Sure mzee, usiingie kichwakichwa, wengi wakishatumika saana ndo wanaokoka.
 
Back
Top Bottom