Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Huyu mtoto ana bahati sana maana hata kabla hajazaliwa baba ake anamili Chopa..gues mtoto lazima aje kuwa billionare only and if asije kuwa na akili kama za LEMUTUZ..maana huyu jama licha ya kuwa ametoka kwenye udongo mbich ila yeye kawa mabua makavu

Mna hakika?
 

eti masihi wa bwana? Wewe umerogwa si bure.
 
...aseeee we jamaa ..ungekua karibu ningekupiga ofa ya kinywaji unachotumi..kwa hilo swali lako...
...ongeza na sie wanaume tunashabikia hii...je watoto wetu ni wahalali kweli..?...au ndio KITANDA HAKIZAI HARAMU?

Leo mkawachunguze pua zao, masikio yao, nyayo zao na midomo yao mtajua kama ni wenu au kitanda hakizai haramu
 
Mtumishi wa Mungu anapomtumikia mwanadamu ampendaye hakuna tatizo
 
Kipi kinachokushangaza hapo Flora kuzaa nje ya ndoa "kama ni kweli" Kwani yeye ndiyo wa kwanza?,
Mbona mume wake kabaka Shemeji mbona wanaume wengi wamezaa nje ya ndoa weengi tu!
Acheni hizo mnajipandia laana kwa maneno ya vinywa vyenu!

Inashangaza sana na kufedhehesha kwa kuwa alikuwa anajinasibu ameokoka. Alikuwa anamdanganya nani?
 
[/COLOR]


Flora anasema anampenda Mbasha lakini anampenda Mungu zaidi, kwa hiyo sijui anamaana gani maana Mungu huyo huyo anaempenda alishasema kua kinachowatenganisha wawili waliofunga ndoa ni kifo. Au anamaanisha Gwajima kwake ni kama Mungu?

Huyu Flora ana maana gani kumpenda Mungu? Anayempenda Mungu huzishika amri zake ambazo ni pamoja na kutokutenganisha ndoa na kuwafanya watumishi wa Mungu washukiwe kwenye uasherati. Watu hawa ndo wanafanya Injili iwe ngumu kuhubiri. Aibu!
 
Kwa ili sina uakika sana ila uyu jamaa kwa kuchapachapa wake za watu hodari sana mnakumbuka ile ya masaki alikula kipigo na mume wa mtu na ndo sababu ya kutembea na bodygud. Mtu wa mungu uyooo

Kumbe ana kashfa nyingine? Duh!
 
Hatimae muda umewadia wa kumjua baba halisi wa mtoto wa Frola Mbasha



Hebu cheki hako Katoto!
Hio PUA ya UPAKO kabisa hio!

Gwajima kapiga goli 1-0.

Haleluyah!

Hio inaitwa "kutoa Neno kuvuna Mwili!"!

Halafu hapo kwenye Picha Gwajima Kakunja uso km.Anafunga goli!
 
Mmh inamaana huwa kazi yenu ni kufatilia taarifa za wengine au nyie wapiga chabo??
Ni uhuni mwanadamu kujificha chini ya kivuli cha mti. Ukiwa super staa mambo yako yapo hazarani. Mimi nilikuwa napiga mahesabu kwani mchangiaji alisema Mumewe (sijui zilipendwa au bado zinapendwa) alilalama kuwa kwa mara ya mwisho kuonja tamu ya mkewe (Flora Mbasha) ilikuwa ni March 2014. Hivyo kwa wiki 36 ili mtoto azaliwe mzima si njiti ni lazima mimba iwe imetungwa (mashallah) April 2014 ili azaliwe mwezi huu. Sasa mie uhanithi wangu ni nini? Au hutaki tuchangie mada zilizo mbele yetu? Je, tusipochangia utasoma nini?
 
Hebu cheki hako Katoto!
Hio PUA ya UPAKO kabisa hio!
Gwajima kapiga goli 1-0.
Haleluyah!
Hio inaitwa "kutoa Neno kuvuna Mwili!"!
Halafu hapo kwenye Picha Gwajima Kakunja uso km.Anafunga goli!

Ndio maana mama mtoto alitaka talaka mapema maana alijua alichokifanya. Nilijiuliza sana, inakuwaje mtu anayedai ameokoka anadai talaka huku akijua kuwa biblia inasema ndoa ni mpango wa Mungu na kichounganishwa na Mungu binadamu hawezi kukitenganisha? Halafu mwimbaji huyu wa wimbo maarufu 'Jipe moyo' inakuwaje yeye kashindwa kujipa moyo na kuyashinda majaribu ya ndoa yake? Kumbe baba mchungaji alikuwa anatafuna kondoo wake taratibu.
 

Hapo ndio wakristo wote watambue kuwa Viongozi wao wengi ni Wasanii.

Huyu Gwajima Hana sifa hatta kidogo ya kuwa Kiongozi.
 

Mkuu mi sijasema we ni -------!!,wapi nimeandika, niombe radhi, lkn mi nilikuwa nashangaa watu mlivyo mahiri kufatilia, si vibaya, maana kuna watu pia wana taaluma hiyo, wame ajiriwa n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…