Ni uhuni mwanadamu kujificha chini ya kivuli cha mti. Ukiwa super staa mambo yako yapo hazarani. Mimi nilikuwa napiga mahesabu kwani mchangiaji alisema Mumewe (sijui zilipendwa au bado zinapendwa) alilalama kuwa kwa mara ya mwisho kuonja tamu ya mkewe (Flora Mbasha) ilikuwa ni March 2014. Hivyo kwa wiki 36 ili mtoto azaliwe mzima si njiti ni lazima mimba iwe imetungwa (mashallah) April 2014 ili azaliwe mwezi huu. Sasa mie uhanithi wangu ni nini? Au hutaki tuchangie mada zilizo mbele yetu? Je, tusipochangia utasoma nini?