NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
as long as hakuna anaetoa hela ya matumizi ya mtoto sidhani kama ni kazi ya mtu yoyo kujua Baba mtoto ni nani,sababu hakuna mtakacho zidisha mkijua wala mtakacho punguza mkijua............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale ambao wamesoma mambo ya "REMOTE SENSING" kuna kitu kinaitwa "Recognition at first glance" yaani ukikiangalia kitu kwa mara ya kwanza na ukiwa na ujuzi wa hayo mambo, unajua tu kuwa hiki ni kitu gani.
REMOTE SENSING- Is the science of obtaining/recording/identifying/perceiving(sensing) information about an object or area from a distance typically from aircraft or satellite without being in contact with it.
Kuna tetesi kwamba Flora mbasha kajifungua, mwezi mmoja baada ya kuomba talaka, haijulikani mtoto ni wa nani? Mtaendelea kupata news!!
Kuna tetesi kwamba Flora mbasha kajifungua, mwezi mmoja baada ya kuomba talaka, haijulikani mtoto ni wa nani? Mtaendelea kupata news!!
Mambo yenu ya kike na mizaha msiyalete huku.Kuna tetesi kwamba Flora mbasha kajifungua, mwezi mmoja baada ya kuomba talaka, haijulikani mtoto ni wa nani? Mtaendelea kupata news!!
Hii nayo ni siasa?!!!
Kuna tetesi kwamba Flora mbasha kajifungua, mwezi mmoja baada ya kuomba talaka, haijulikani mtoto ni wa nani? Mtaendelea kupata news!!