Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

as long as hakuna anaetoa hela ya matumizi ya mtoto sidhani kama ni kazi ya mtu yoyo kujua Baba mtoto ni nani,sababu hakuna mtakacho zidisha mkijua wala mtakacho punguza mkijua............
 
Flora apata mtoto
 
Attachments

  • 1423031101531.jpg
    1423031101531.jpg
    119.6 KB · Views: 1,138
Acheni kumsingizia Gwajima bila ushahidi wowote......... sometimes kama huna uhakika na kitu ni bora kukaa kimya kuliko kuchafua Watumishi wa Mungu ....

"Those who live judging their neighbours, speaking badly of them, are hypocrites because they don't have the strength, the courage to look at their own defects," by Pope Francis
 
Kwa wale ambao wamesoma mambo ya "REMOTE SENSING" kuna kitu kinaitwa "Recognition at first glance" yaani ukikiangalia kitu kwa mara ya kwanza na ukiwa na ujuzi wa hayo mambo, unajua tu kuwa hiki ni kitu gani.

REMOTE SENSING- Is the science of obtaining/recording/identifying/perceiving(sensing) information about an object or area from a distance typically from aircraft or satellite without being in contact with it.
 
Kama umesomea ebu tuambie umeelewa nini apo mkuu
 
Kuna tetesi kwamba Flora mbasha kajifungua, mwezi mmoja baada ya kuomba talaka, haijulikani mtoto ni wa nani? Mtaendelea kupata news!!
 
Umepotea njia rudi ulikotoka hapa si mahali pa udaku ama ukuda!
 
Watumishi wa mungu au watumishi wa .............................................
 
Kuna tetesi kwamba Flora mbasha kajifungua, mwezi mmoja baada ya kuomba talaka, haijulikani mtoto ni wa nani? Mtaendelea kupata news!!
Mambo yenu ya kike na mizaha msiyalete huku.
 
Atakuwa mtoto wa Mch. Gwajima

Masikini Alex Mbasha, atakufa kwa kisebusebu na kihoro papo!
 
Kuna tetesi kwamba Flora mbasha kajifungua, mwezi mmoja baada ya kuomba talaka, haijulikani mtoto ni wa nani? Mtaendelea kupata news!!

Stupid Post kama akili yako ilivyo. Hiyo story peleka Issa michuzi
 
Back
Top Bottom