Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

we unahisi ni nani?

Mkuu
Ili iweje. Mtu pekee anayeweza kufumbua kitendawili hiki ni Flora na mhusika.
Kati yetu kama kuna aliyekuwa nao na akaona na kudhibitisha siku hiyo atujue hapa jamvini. Otherwise tutakuwa tuna pepeta majungu.
 
Mkuu mi sijasema we ni -------!!,wapi nimeandika, niombe radhi, lkn mi nilikuwa nashangaa watu mlivyo mahiri kufatilia, si vibaya, maana kuna watu pia wana taaluma hiyo, wame ajiriwa n.k
Nadhani sote tunafuatilia maana kutoka comment namba moja hadi 300 nawe ulikuwa mfuatiliaji mzuri. Inaonyesha sisi sote tuna taaluma hiyo kama ulivyojieleza. Nami nitake lazi
 
Nadhani sote tunafuatilia maana kutoka comment namba moja hadi 300 nawe ulikuwa mfuatiliaji mzuri. Inaonyesha sisi sote tuna taaluma hiyo kama ulivyojieleza. Nami nitake lazi

Kuwa na amani mkuu, yanini kugombania fito?, siku njema.
 
Hapo ndio wakristo wote watambue kuwa Viongozi wao wengi ni Wasanii.
Huyu Gwajima Hana sifa hatta kidogo ya kuwa Kiongozi.

Mimi ni mkristo, lakini napingana sana na hawa wanaojiita manabii watenda miuujiza, kwangu mimi siamini hata theluthi namna wanavyohubiri. Wengi wao wamechukua shida na mahangaiko ya watu kama mtaji wao wa kujitajirisha. Ndio maana wengi ya hawa wachungaji au manabii, maisha yao ni kitajiri na kifahari kwa kiasi cha juu sana ukilinganisha na waumini wao. Binafsi naamini miujiza ipo, lakini miujiza haiwezi kuwa ya kirahisi kama hii ya hao wanaojiita manabii au wachungaji.
 
Kama si ushetani ni kitu gani kinakufanya ufurahie kusema uwongo kwamba ni mtoto wa Mch. Gwajima wakati Emannuel hajakataa si mtoto wake, Frola anasema na mtoto wa Emmanuel, Mchungaji amesema si mtoto wake, halafu hakuna DNA imepiimwa.

Ondoa wendawazimu wa shetani hapa.

Pyuuuuuuuuuuuuuuuu!
HAYA:tape2:
 
Hebu cheki hako Katoto!
Hio PUA ya UPAKO kabisa hio!

Gwajima kapiga goli 1-0.

Haleluyah!

Hio inaitwa "kutoa Neno kuvuna Mwili!"!

Halafu hapo kwenye Picha Gwajima Kakunja uso km.Anafunga goli!

Kwa comment hii hiyo id yako umeitendea haki! hahaha
 
Hivi ile kesi ya ubakaji aliyotuhumiwa nayo Emmanuel Mbasha mume wa mchana mistari ya injili iliishiaga wapi? Maana cku siickii ikizungumziwa tena

Kesi za kutunga tunga huwa zinakufa kibudu, kila siku uchunguzi haujakamilika, na mbaya zaidi uchunguzi haujakamilika halafu mtuhumiwa anakuwa huru kwa dhamana, sijui hata huo ushahidi utapatikanaje.
 
DNA zinasemaje? Mleta mada Fanya research kabla ya kuhusianisha picha

Wewe ulipozaliwa kuna ndugu yako yeyote alikwenda kukupima DNA, au waliangalia tu sura wakafananisha na baba yako?
 
Duh huyo wa chini kushoto kafanana sana na mtoto
 
Mleta mada una ushahidi na ulichoandika.

Nimeandika hivi "Hatimae muda umewadia wa kumjua baba halisi wa mtoto wa Frola Mbasha" kisha nikaweka picha za mtoto aliyezaliwa, mama wa mtoto, Emmanueli Mbasha, na mchunga kondoo Gwajima, je unahitaji ushahidi wa kitu gani hapo?
 
Wewe ulipozaliwa kuna ndugu yako yeyote alikwenda kukupima DNA, au waliangalia tu sura wakafananisha na baba yako?

Kuna watoto wengine wanazaliwa ktk hali tatanishi but others mmmmmhhhhhh!
 
Wewe ulipozaliwa kuna ndugu yako yeyote alikwenda kukupima DNA, au waliangalia tu sura wakafananisha na baba yako?

Siwez kukubishia labda unajua Baba wa huyo mtoto mwenyewe ndo maana ukatuletea picha (udaku) ila kwa upande wangu I never make conclusions on such rumours... And by the way we should discuss constructive issues than destructive fictions about people
 
Kama si ushetani ni kitu gani kinakufanya ufurahie kusema uwongo kwamba ni mtoto wa Mch. Gwajima wakati Emannuel hajakataa si mtoto wake, Frola anasema na mtoto wa Emmanuel, Mchungaji amesema si mtoto wake, halafu hakuna DNA imepiimwa.
Ondoa wendawazimu wa shetani hapa.
Pyuuuuuuuuuuuuuuuu!

Emmanuel atakataaje wakati hakai pamoja na Frola, na hata hajamuona huyo mtoto? Halafu kwa nini kwa akili yako ya kawaida unategemea Frola akili kuwa ni mtoto wa Gwajima, kwani yeye Frola hajui aibu itakayompata? Na huyo Gwajima kwani hajui impact itakayotoea kwa waumini wake pindi akikiri kuwa huyo ni mwanae?

Labda nikurudishe nyuma, maana yawezekana umekurupukia tu hii mada na hujui imeanzia wapi na ni kwa nini watu wapo attention sana na suala la Frola kujifungua mtoto. Hebu pitia hizi mada chini kwanza

Gwajima ana sifa za uzinifu.!

Hii sio issue ya kwanza kwa huyo anaijiita mtu wa Mungu.

Jamaq anatafuna kondoo na manyoa yake.

Msijepeleka dada zenu na watoto wenu wa kike kwenye kanisa lake.
Watarudi na matumbo makubwa ya upako halafu wawaambie wanataka Andrews kwa sababu wamevimbiwa! Kumbe Gwajima kaisha funga goli 1-0.

Huyu Jamaa angekuwa Vatican wangeshamuweka ndani zamani kwa kuwapiga mimba wale watawa!

Gwajima ni Kidume cha mbegu !
Anawapa neno la bwana wanakondoo na huku anapenyeza nyama takatifu mwilini mwao!

Teh teh teh teh!

Kudaddadeki!
 
Nimeandika hivi "Hatimae muda umewadia wa kumjua baba halisi wa mtoto wa Frola Mbasha" kisha nikaweka picha za mtoto aliyezaliwa, mama wa mtoto, Emmanueli Mbasha, na mchunga kondoo Gwajima, je unahitaji ushahidi wa kitu gani hapo?

Hapa hakuna utata wwt!
Gwajima kafunga Goli 1-0!

Jamaa anatafuna kondoo akijua mwenye kondoo yuko mbali mno!

Teh teh teh!
Siku mwenye kondoo akirudi atakuta zimebaki Ngozi tupu!

Gwajima Katafuna Nyama na manyoya yote!

Jamaa balaa huyu! Naskia Anatumia sana Mkuyyat!♡♡¿

Hio naskia ni kali kuliko VIAGRA! manake ni km yule Kuchi! Kuku wa mbegu! Mchana kutwa kaisha rukia kuku km 50! Na kuwapandikizia Kimeo cha mbegu!

Manina!
Sio mchezo!
Huyu Gwajima Angekuwa ni raia wa KiChina basi zamaani angeshakuwa Jela.
Manake kule China kuzaa mwisho mtoto mmoja tu. Na naskia jamaa ana watoto wa nje ya ndoa km Mvua!

Inafaa huyu jama afungwe Gavana Kwenye Dushelele! Au atajaza Bongo fasta sana!
 
Back
Top Bottom