we unahisi ni nani?
Mkuu
Ili iweje. Mtu pekee anayeweza kufumbua kitendawili hiki ni Flora na mhusika.
Kati yetu kama kuna aliyekuwa nao na akaona na kudhibitisha siku hiyo atujue hapa jamvini. Otherwise tutakuwa tuna pepeta majungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we unahisi ni nani?
Nadhani sote tunafuatilia maana kutoka comment namba moja hadi 300 nawe ulikuwa mfuatiliaji mzuri. Inaonyesha sisi sote tuna taaluma hiyo kama ulivyojieleza. Nami nitake laziMkuu mi sijasema we ni -------!!,wapi nimeandika, niombe radhi, lkn mi nilikuwa nashangaa watu mlivyo mahiri kufatilia, si vibaya, maana kuna watu pia wana taaluma hiyo, wame ajiriwa n.k
Nadhani sote tunafuatilia maana kutoka comment namba moja hadi 300 nawe ulikuwa mfuatiliaji mzuri. Inaonyesha sisi sote tuna taaluma hiyo kama ulivyojieleza. Nami nitake lazi
ubarikiwe na wewe tukutake kwa mchungaji Gwajima jioni hiiKuwa na amani mkuu, yanini kugombania fito?, siku njema.
Hapo ndio wakristo wote watambue kuwa Viongozi wao wengi ni Wasanii.
Huyu Gwajima Hana sifa hatta kidogo ya kuwa Kiongozi.
HAYA:tape2:Kama si ushetani ni kitu gani kinakufanya ufurahie kusema uwongo kwamba ni mtoto wa Mch. Gwajima wakati Emannuel hajakataa si mtoto wake, Frola anasema na mtoto wa Emmanuel, Mchungaji amesema si mtoto wake, halafu hakuna DNA imepiimwa.
Ondoa wendawazimu wa shetani hapa.
Pyuuuuuuuuuuuuuuuu!
Hebu cheki hako Katoto!
Hio PUA ya UPAKO kabisa hio!
Gwajima kapiga goli 1-0.
Haleluyah!
Hio inaitwa "kutoa Neno kuvuna Mwili!"!
Halafu hapo kwenye Picha Gwajima Kakunja uso km.Anafunga goli!
Hivi ile kesi ya ubakaji aliyotuhumiwa nayo Emmanuel Mbasha mume wa mchana mistari ya injili iliishiaga wapi? Maana cku siickii ikizungumziwa tena
Mleta mada una ushahidi na ulichoandika.
Wewe ulipozaliwa kuna ndugu yako yeyote alikwenda kukupima DNA, au waliangalia tu sura wakafananisha na baba yako?
Wewe ulipozaliwa kuna ndugu yako yeyote alikwenda kukupima DNA, au waliangalia tu sura wakafananisha na baba yako?
Kama si ushetani ni kitu gani kinakufanya ufurahie kusema uwongo kwamba ni mtoto wa Mch. Gwajima wakati Emannuel hajakataa si mtoto wake, Frola anasema na mtoto wa Emmanuel, Mchungaji amesema si mtoto wake, halafu hakuna DNA imepiimwa.
Ondoa wendawazimu wa shetani hapa.
Pyuuuuuuuuuuuuuuuu!
Emmanuel atakataaje wakati hakai pamoja na Frola, na hata hajamuona huyo mtoto? Halafu kwa nini kwa akili yako ya kawaida unategemea Frola akili kuwa ni mtoto wa Gwajima, kwani yeye Frola hajui aibu itakayompata? Na huyo Gwajima kwani hajui impact itakayotoea kwa waumini wake pindi akikiri kuwa huyo ni mwanae?
Labda nikurudishe nyuma, maana yawezekana umekurupukia tu hii mada na hujui imeanzia wapi na ni kwa nini watu wapo attention sana na suala la Frola kujifungua mtoto. Hebu pitia hizi mada chini kwanza
- MBASHA: GWAJIMA NIACHIE MKE WANGU
- MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI
- NDOA YA FLORA MBASHA CHALI
- [h=1]VIDEO INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA
[/h][video=youtube_share;fUAGeSf63Ps]http://youtu.be/fUAGeSf63Ps[/video]
Nimeandika hivi "Hatimae muda umewadia wa kumjua baba halisi wa mtoto wa Frola Mbasha" kisha nikaweka picha za mtoto aliyezaliwa, mama wa mtoto, Emmanueli Mbasha, na mchunga kondoo Gwajima, je unahitaji ushahidi wa kitu gani hapo?