Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ???Kesho ndo shughuli au ale sabuni ya unga
ukute hata saa hizi ana gegedaMwee? Wakati jamaa leo usiku kucha anagegeda apo ndani
Mkuu naomba elimu kidogoDada ameamua kuvunja agizo la Mungu aliyeemuumba,akaona kuzini ndio ishu,mpendeze shetani ila ujue shetani hana rafiki...anawadanganya wezi waibe ila hawasaidii,anaawacha wanakufa kifo kibaya cha dhambi na kusubiri hukumu ya moto.
Harusi wenyewe keshoAjikondeshe kidogo kabla ya harusi.
Kashaliwaa yalaaaa! Namhurumia Mbasha na binti yao, inabidi kesho ajitwishe mitungi ya kufa mtuUkiona manyoya?
Kesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza
Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000 au uko double unatoa sh 70,000 upate nafasi ya kushuhudia harusi yake na mumewe mtarajiwa Daudi Kusweka
Madam pia atazindua albam yake mpya
View attachment 502676
View attachment 502677
View attachment 502678
View attachment 502679
View attachment 502680