Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

Dada ameamua kuvunja agizo la Mungu aliyeemuumba,akaona kuzini ndio ishu,mpendeze shetani ila ujue shetani hana rafiki...anawadanganya wezi waibe ila hawasaidii,anaawacha wanakufa kifo kibaya cha dhambi na kusubiri hukumu ya moto.
 
Daaaaa mungu angekuwa mwanadamu florah asingekuwepo hai mpk leo
 
Hivi kwenye ndoa yake ya kwanza alikaa mda gani? Na ana watoto wangapi?
 
Dada ameamua kuvunja agizo la Mungu aliyeemuumba,akaona kuzini ndio ishu,mpendeze shetani ila ujue shetani hana rafiki...anawadanganya wezi waibe ila hawasaidii,anaawacha wanakufa kifo kibaya cha dhambi na kusubiri hukumu ya moto.
Mkuu naomba elimu kidogo
Hivi wenzetu wa marekani na ulaya wanatumia maandiko yapi?
Maana wanafunga ndoa na kuachana kama hawana akili nzuri
Jlo kashafunga ndoa 3 zote chali
Mariah Carey nae ndoa chali
Wenzetu wamatumia biblia ipi mkuu?
 
Nasikia kanunua hadi na kiatu cha kesho kwenda kushuhudia. Lakini mi nahisi anaenda kusubilia pale mchungaji anapouliza kuna kipingamizi cha kuzuwiya ndoa isufungwe.
 

Attachments

  • Screenshots_2017-04-29-19-29-11.png
    Screenshots_2017-04-29-19-29-11.png
    815.6 KB · Views: 46
Halafu mbona kama vile Flora anaonekana ni Robert Mugabe ( Mzee / Mkubwa ) kwa Daudi?
 
Kesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza
Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000 au uko double unatoa sh 70,000 upate nafasi ya kushuhudia harusi yake na mumewe mtarajiwa Daudi Kusweka
Madam pia atazindua albam yake mpya
View attachment 502676
View attachment 502677
View attachment 502678
View attachment 502679
View attachment 502680

Huu ndio upumbavue nisioutaka mimi. Hamjaoana kitandani mnafanya nini? Inamaana hakuna sehemu nyingine ya kuongelea zaidi ya huko chumbani tena kitandani? Huu ni upumbavue sasa.
 
Huyu kijana bado mdogo sana amekwenda kujitwisha mzigo wa mke wa mtu.sijui hana marafiki wa kumshauri au namna gani..
Ila ipo siku atakumbuka na Frola atamkumbuka Mbasha
 
Back
Top Bottom