Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

ahahahahahaaaaa we jamaa Flora anatualikaje kwenye ndoa yake! kwenye ndoa c yeye tu na huyo jamaa ake, au unamaanisha kwenye sherehe ya harusi ya ndoa yake
Mkuu i mean kwenye reception aisee ule biriani
 
Sasa mbona wameshaoana tayari? Hapo wakon hotelin au honey moon imeanza kabla ndoa kufungwa
 
Mkuu naomba elimu kidogo
Hivi wenzetu wa marekani na ulaya wanatumia maandiko yapi?
Maana wanafunga ndoa na kuachana kama hawana akili nzuri
Jlo kashafunga ndoa 3 zote chali
Mariah Carey nae ndoa chali
Wenzetu wamatumia biblia ipi mkuu?
Sio kila mtu anaamini na kutumia biblia katika maisha yake, amri ya ndoa ya mke na mume mmoja hadi kifo na kanuni zake zipatazo 101 zinashikwa na kuzingatiwa na wakristo, ndio maana unaona wanamshangaa mwenzao flora na mwenzie wa kwanza, wote wawili wameshindwa kushika viapo vyao na wamelivunja agano lao na sasa kila mmoja anahangaika utumwani, hayo si maisha ya ndoa ya kikristo, ni uhayawani, kwao shetani kashinda na anashangilia huko aliko [HASHTAG]#tulinde[/HASHTAG] ndoa zetu [HASHTAG]#nimeoa[/HASHTAG] nampenda mkewangu.
 
Huu ndio upumbavue nisioutaka mimi. Hamjaoana kitandani mnafanya nini? Inamaana hakuna sehemu nyingine ya kuongelea zaidi ya huko chumbani tena kitandani? Huu ni upumbavue sasa.
Hiyo mashine ishatumika, sasa kitandani ataogopa nini?
 
Aisee mbona huyu jamaa anaonekana mdogo?, pia frola aliwahi kufunga ndoa inakuwaje anafunga ndoa mala ya pili? Anatuaibisha wa kristo.
 
Aisee mbona huyu jamaa anaonekana mdogo?, pia frola aliwahi kufunga ndoa inakuwaje anafunga ndoa mala ya pili? Anatuaibisha wa kristo.
Jamaa kuwa mdogo ni tatizo?
Mbona Mengi amemuoa K.lyn hakuna aliestuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…